Wakuu habari ya sahizi, ninandugu yangu kachomwa na msumari jana jioni, ikabidi twende kituo vituo vya afya ili apate sindano ya tetenasi.
Katika hali ya kushangaza tangu jana hadi leo tunahangaika hospitalI na zahanati mbalimbali za serikali na private, wilaya ya temeke hatujapata hiyo...
Hakika akhy, kumdhania mtu kwa kile kisicho thabiti si sawa kabisa
"mathalani unaamini bibi kizee ni mchawi, kisa wanawe na vitukuu vyake vimetangulia mbele ya haki"
Allah atuhifadhi.
Pole sana mkuu, kuna vidonge vinaitwa septrin nilinunua vya buku vinakuwa 10, nikavisaga vikawa unga kabisa nikachanganya na mafuta ya mgando "baby care" ya 400tsh (25g) nikawa napaka kila nikioga...bro nilitumia 1400 tu, ndani ya wiki 3 nilipona kabisa tangu December hadi leo hakuna cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.