Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 814
- 2,079
Ni Dermatologist Bingwa, ana experience ya miaka 35+ masuala ya Ngozi, clinic yake wanapima pia Allergy na hilo suala la Fungus pia nenda na mkeo mkamuone atajua yy awape dawa gn kulingana na tatizo lenu. kumuona kwa mara ya kwanza ni 30,000. Anapatikana siku 4 tu ndani ya wiki.