Recent content by minuras

  1. minuras

    Nahitaji kununua mashine ya kufyatulia tofali za block ambayo inatoa tofali sita kwa mara moja na mixer yake

    Nahitaji kununua mashine ya kufyatulia tofali za block ambayo inatoa tofali sita kwa mara moja na mixer yake. Iwe used
  2. minuras

    Faidika/letshego kwanini mnasumbua wateja wenu pindi wakitaka loan settlement report?

    Poa mkuu,keaho mapemaaaa nalifanyia Nazi,wanazingua sana
  3. minuras

    Faidika/letshego kwanini mnasumbua wateja wenu pindi wakitaka loan settlement report?

    Wakuu naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa kwa hawa Jamaa wa LETSHEGO/FAIDIKA kwa tabia zao ya dharau na kutowajali wateja wao kwa kuwadanganya na kuwachukulia kama watoto kwa kutokuwapatia Wateja wao Salio la mikopo yao/debt settlement letter pale wanapotakiwa kulipwa Fedha zao kwa mkupuo...
  4. minuras

    TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    TCRA wanastahili pongezi kwa kusimamia sheria kwa maslahi mapana ya watanzania wote ambao tunatofautiana kipato,Uhuru wa kupata habari upo kwenye katiba ya nchi yetu.
  5. minuras

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Draw no bet maana yake nini?
  6. minuras

    Maisha halisi ya mtumishi wa umma

    Ujumbe huu umeniamsha usingizini
  7. minuras

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Tupe fursa hiyo tuende mkuu
  8. minuras

    Msaada kuhusu VISA ya UK visit..

    Acha ngono zembe kijana
  9. minuras

    Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    Vyuma vimekaza wachaga hawana nauli ya kurudia nyumbani,ukifika Ubungo cheki utapata abiria mmoja hadi sanya juu!
  10. minuras

    Hatimaye nimefikisha umri sahihi wa kumuangukia Shetani/Lord Lucifer

    Pesa na maisha huisha,jitahidi kuridhika na ulichonacho. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom