Maisha halisi ya mtumishi wa umma

Maisha halisi ya mtumishi wa umma

Mpaka mnene kwa lugha moja ,ndo watumishi mtaelewana
 
Basic salary = 716000
PAYE = 86000
NHIF= 21500
HESLB loan = 107000
NMB loan = 260000
CWT = 14300
Kinachobaki majanga.
TUNASOMA NAMBA
Sema maisha ya mwalimu,mana ukisema watumishi wa umma wapo wanaokula salar M 2 hadi 20
 
Mie nalia na walimu tu jamani. Hakuna waajiriwa wenye madeni kama walimu. Maduka yoote ya mangi wanadaiwa ile mbaya. Wakipokea mishahara baada ya siku 3 wananza kulia njaa.

Bora mie niliye jiajiri
 
Maisha halisi ya BASHITE
37583231_1168540639954492_3745912386414968832_n.jpg
Umeua Bujibuji
 
Mie nalia na walimu tu jamani. Hakuna waajiriwa wenye madeni kama walimu. Maduka yoote ya mangi wanadaiwa ile mbaya. Wakipokea mishahara baada ya siku 3 wananza kulia njaa.

Bora mie niliye jiajiri
Hapo una mke na mtoto unafikiri madeni yanakwepeka?
 
mtu mwenye akili zake kamili hawezi kufanya kazi ambayo kwa mwaka mzima anaingiza pesa mara 12 tu then siku nyingine zote 353 anatumia halafu bado anawaza mafanikio,idiots!
Umenifikirisha.

Ila ngoja niendelee kuomba kazi nionje machungu ya mwajiriwa.
 
Tuelekezane mkuu, deals wapi hizo?
Safiri. ..panga safari ukitoe. Bongo ni kwetu lakini gozi gozi sanaaa. ..marekani. Canada. ..ulaya. .pigana kadri unavyoweza uchomoke mkuu. ..20 yrs later utakuwa njema sana. Narudia tena Bongo ni kwetu lakini lazima tuende masafa ya mbali kutafuta. ..
 
Back
Top Bottom