peopleos poweeer!wasubiri nguvu ya umma ndo itakayoamua,cidanganyikii saiv kama kuna m2 wa kawaida ambaye cio fisadi hateseki na ajitokeze hapa jamvini wadau
mh.mbowe yuko right kabissa kwani kumsifia rais hata ww pia waweza fanya hvyo cku zote watendaji wa chni mara nyingi ndio huwa wanamwangsha m2 wa juu kama rais na hata sehem yeyote yenye uongozi wa ngazi,..mbalimbali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.