kweli mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu . hiv mmesahau mliyowafanyia cuf kwa kuwabania ikulu wakati ushahidi unaonesha maalim alishinda ? acha mzuiliwe hiyo misaada mjifunze kuheshimu katiba
kwani Dr slaa kabla ya kuwa Katibu ya cdm nae si alitoka ccm na akafaa . kwamba uwezo wa sumaye kuwa Katibu anafaa japokuwa hata ningependa kuona watu wengine wasiotoka kaskazini kama msigwa ., waitara kubenea n.k
usiongee jambo ambalo hulielewi . nilikuwa na sifa za kupata mkopo ndio maana nilipata ningekuwa na pesa za kunisomesha nisingeomba mkopo . wizi wangu ni upi wakati nitakuja kulipa mkopo . wewe unadhani ukiwa na familia halafu mshahara kiduchu unaishia matumizi ya kawaida ningeweza kusoma...
nashukuru sana kwa kuendelea kunishauri nami bado naendelea kupokea na kuheshimu kila wazo ili ninapoamua niwe nimefanya uamuz sahihi hivo nakaribisha kwa mwingine mwenye ushauri
Ku renew mkataba it means niache serikalini . nasikia ukipangiwa kazi serikalini usiporipoti hutaweza kupata kazi tena serikalini . na matamanio yangu ilikua nikuingia serikalini baada ya kufanya kazi kwenye sekta binafsi kwa takribani miaka 6 sasa
je nikisitisha masomo uwezekano wa kupata mkopo tena upo ? maana kujilipia mm na mwenzi kwa wakati mmoja ni ngumu bila mm kupata mkopo ili salary yangu imsaidie nayeye kusoma chuo maana itafika muda watoto itakuwa zamu yao kusoma na sio sisi tena
habari wakuu. naomba ushauri kuhusu kazi niliyopata.
Kwanza niseme nashukuru Mungu nimepata kazi halmashauri moja katika mkoa mmoja(jina nahifadhi), niliomba kazi kwa kutumia cheti cha diploma na wakati huo nikiwa nasoma masomo ya jioni taasisi moja hapa DSM . Kazi niliyoomba kituo cha kazi...
kwasababu huwez kuhama mji kisa mtu au huwez kumhamisha huyo bwana .cha msingi mshauri na kumuonya na kumtahadharisha mkeo Akae mbali na huyo x wake na ikitokea umegundua mawasiliano yeyote kati yao basi hatua zingine zitafuata. cha msingi ajue ndoa inahitaji heshima. jitahid kumpenda zaid mkeo...
Halafu mwana bao la mkono mbona kabla ya kumnadi mgombea wenu tulirarajia kusikia utekelezaji wa ilani ya jk halafu ndipo tusikie ilani mpya. Tunaaminije kwamba ilani imetekelezwa kama alivyoahidi jk .au ni uleule mtindo wa ahadi juu ya ahadi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.