Recent content by Mindset100

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliotokea Ruvuma

    Home Jamvi Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Ukweli ni Upi Kuhusu Oscar Kambona? Global Publishers September 14, 2021 5,900 views 0 Comments SHARE THIS: Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tanga, Kibaha, Mbeya, Morogoro na Songea ; Mji gani una gharama ndogo za maisha?

    Ila Kweli Aise! Jamhuri Ya Watu Wa Songea Ni Kiboko😀😀😀😀
  3. M

    JamiiForums Tanzania Songea ni moja ya mji ninaohusudu

    Kimaendeleo Songea wanakuja na comeback la maana na hayo makaa ya mawe ni noma panakua sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Mafala sana yaani ndiyo unidanganye bei za mbao mimi wakati mbao naziona na bei nazijua nimekuliankwenye mbao. Mafala sana hao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Nyumba mstatili tu mzee imetoka mbele varanda tu kidogo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Bati 100pc
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Napiga paa mwenyewe?😀😀😀😀😀😀 Acha masihala mi naheshimu wataalamu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀 Ukubwa wa nyumba mita urefu mita...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma kupaa: Ndege za ATCL kuongezwa, vyuo vikuu viwili kuanza Oktoba, mkandarasi barabara ya njombe kukabidhiwa mradi

    Songea kuna upinzani ni basi tu mbwinwu mwingwi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma kupaa: Ndege za ATCL kuongezwa, vyuo vikuu viwili kuanza Oktoba, mkandarasi barabara ya njombe kukabidhiwa mradi

    RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa limeisukuma Serikali kuongeza safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua...
  11. M

  12. M

    JamiiForums Tanzania MIJI ILIYODUMAA TANZANIA

    Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu. 1. Moshi Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

    Weeeeeee Kahama unazungumzia jiji kabisa compared na Lindi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

    🤣🤣🤣🤣🤣😂😁😀
Back
Top Bottom