Recent content by Mindset Maven

  1. Mindset Maven

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

    Mzungu hajawahi kumpenda au kuipenda Africa kutoka moyoni. Lazima ujiulize mara mbili mbili. Strings attached hapo. Aids with conditions. Siyo bure, tena mbaya zaidi. History keeps repeating it self, kama Thomas Sankara
  2. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Ndo nilichofanyaga kipindi nipo single kabla ya kukutana na wife wangu, niliamua hela zangu nitumie kwangu mwenyewe. Kula sana bata, enjoy sana. Sometimes nikijua natoka na ntakunywa sana na acha gari yangu nachkuwa ya mchizi yyte, na mwekea wese dereva yeye mwenyewe. Una realize unatupa pesa...
  3. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Hahahaha! Acha atuambie kila kitu ni bora atoe aliyo nayo na kuongea na sisi. Acheni kitu ku umia moyo, balaa. Btw ndo maana ya social network.
  4. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Hahahaha.
  6. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Hahaha nliwahi kuwa na demu wa pande hizo, ilkuwa niowe. Dah. Mzee nilichimba, nashukuru sana MUNGU, maana ningejuta. Yani aliniokoa sana. Ndoa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Mindset Maven

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya Dar es Salaam

    Fanya mziki kaka, unalipa. si unaona kina Mondi
  8. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Introverts Vs Relationship

    Same boat, except am a guy. Ila kuna vtu vinawiana. Hasa kutoka solo n want to b alone akija mtu anavuruga furaha yako na utulivu wako.
  9. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    No love man, ili usipate shida accept it an move on. Hata kama mzuri vipi bob, fanya maamuzi magumu. Kikubwa ww uwe na amani, jua utapata mkali zaidi yake. Sometimes unashikilia mabalaa, mikosi au kujicheleweshea mafanikio. Story yangu fupi nlikuwa na demu si mkali sana ila nilimpenda kwa moyo...
  11. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Ila kwa hizo text ni kuwa demu kashafanya maamuzi, kashachoka mahusiano. Ila anaona noma kusema ukweli kuwa basi so anamtega ili ajivuruge apate pakutokea. Women bwana acheni kabisa. She dsnt wanna be the frst to leave. Guilt
  12. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Nmecheka pia, ukute mahari haijatolewa hataa [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kuna penzi bado? Au niangalie mlango wa kutokea?

    Kama yeye ndo bread winner je? Maana kuna vijana sikuhizi wazembe sana, wanapenda wanawake wenye hela/uwezo. Ila kama anaznguwa tafuta chombo kali zaidi. Trust me atarudi analia hata hela atataka kumpa huyo demu mpya ili akuache mrudiane. I can relate.
  14. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Kweli EvilSpirit [emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Mindset Maven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni nakaribia kuumbuka

    Hahahahaha
Back
Top Bottom