Recent content by minawe

  1. minawe

    Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    Compressor ya Raum "new model" bei gani?
  2. minawe

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo hizi za Juma Nature Nini chanzo Biashara ya utumwa
  3. minawe

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Inahitajika nyumba ya kupanga songea karibu na mjini maeneo ya mahenge/ffu.. chumba sebule na jiko self au vyumba viwili Sent using Jamii Forums mobile app
  4. minawe

    Naomba kujua mazingira ya kazi EGPAF

    Hizi hasira za kukosa hiyo kazi ya lab tu... [emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. minawe

    Wakuu naombeni wazo lenu kwa wajuzi

    Mara nyingi inategemea sehem unayotokea kabla ya kuanza ajira mpya na kituo chako cha kazi... kama unatokea sehem ilipo kituo cha kazi (mfano upo dar, na kazi itakua dar) kwa kawaida utasubiri tu mshahara mwisho wa mwezi Ila kama unapotokea ni tofauti na kituo cha kazi ndio ofisi nyingi hulipa...
  6. minawe

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji846]
  7. minawe

    Nataka kujitoa muhanga kwenye biashara hii jamani

    Ifanye tu ila hakikisha hukosi mafuta
  8. minawe

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. minawe

    NUNUA TV TUKULETEE NA KUKUFUNGIA UKUTANI BURE

    Kwenye picha inaonekana kuna 'add-ons' nyingi (TV guard, subwoofer, hdmi cable)... Hivyo vinaenda na TV yoyote? Au picha hazina uhusiano na post Sent using Jamii Forums mobile app
  10. minawe

    INAUZWA Tunauza TV, Fridge, Home theatre na vifaa vingine vya umeme

    Boss au TCL inch 49 smart unauzaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. minawe

    Taja nyimbo zenye maudhui kama ya wimbo wa Mwanza

    Duuh... Sina kipaji cha ubishi wa hivi, endelea kujilisha upepo, bye
  12. minawe

    Taja nyimbo zenye maudhui kama ya wimbo wa Mwanza

    Hii ni chuki iliyopitiliza... Keroro inajulikana ni pombe
  13. minawe

    Pamba gari yako na Muba sound

    Gharama inakuaje nikitaka huduma hizi kwa raum? 1. Tinted vioo vyote 2. Seat covers full
  14. minawe

    Wenye weledi wa swali hili kwenye usahili

    Hilo ni swali very common kwenye interviews so ukienda interview ni heri ujiandae kulijibu, usipoulizwa ni heri tu Mara nyingi kampuni zina viwango vyao vya mishahara kwa different positions zikiwa kwa range depending na kiwango cha taaluma na uzoefu wa mwombaji Linaulizwa walau waone applicant...
  15. minawe

    Je Moyo safi ni hospitali au Dispensary?

    Itakua alienda kutafuta mke (bwana wifeseeker) [emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom