Recent content by Mimiwikolo

  1. Mimiwikolo

    Ukubwa wa Banda la Kuku wa Mayai na Idadi ya Stahili ya Kuku

    Wadau naomba msaada nataka kujua ukubwa wa banda (square mita) la kufugia kuku wa mayai na idadi ya kuku inayotakiwa... i.e kwa kuku wa mayai 300 kwa mfano, inatakiwa banda la ukubwa gani? Pia kwa kuku wa mayai 500, 700 na 1,000., linatakiwa banda la ukubwa gani? Msaada please
  2. Mimiwikolo

    Nahitaji mke

    Hahahaa.. Now weka vigezo uone ka wataondoa tena
  3. Mimiwikolo

    Nahitaji mke

    ??!..
  4. Mimiwikolo

    Nahitaji mke

    Mmmm... Wewe ulitakaje kwani?
  5. Mimiwikolo

    Nahitaji mke

    Vizuri kuwa specific mkuu
  6. Mimiwikolo

    Nahitaji mke

    Hi, Rafiki wa kike anahitajika then aje kuwa mke if God wishes. Am 36, graduate nimeajiriwa serikalini, niko Dar. Uwe atleast na diploma, mwenye ajira. Uwe Mkristo (Protestant/Pentecost). Umri 26 - 31, usiwe na mtoto. Uwe mweupe/maji ya kunde na sio mnene, vizuri uwe mwembamba. Karibu ni PM
  7. Mimiwikolo

    Nimeacha kuishabikia Arsenal

    Wewe nae Arsenal tu... Hahaaaa
  8. Mimiwikolo

    Mechi Serengeti Boys vs.South

    Cha msingi waangalie future yao wasisubiri ujinga wa viongoz
  9. Mimiwikolo

    Mechi Serengeti Boys vs.South

    Nimeyapata sehemu......... SERENGETI BOYS YAIPIGA AFRIKA KUSINI 2-0 NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AFRIKA.... SERENGETI BOYS YAIPIGA AFRIKA KUSINI 2-0 NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  10. Mimiwikolo

    Mechi Serengeti Boys vs.South

    Hii nchi ya kipuuzi sana kwenye suala la uzalendo, hasa hizi TV zikiongozwa na TBC hovyooooo... Naomba mwenye matokeo ya mwisho atupatie
  11. Mimiwikolo

    Mechi Serengeti Boys vs.South

    asante mkuu
  12. Mimiwikolo

    Mechi Serengeti Boys vs.South

    Please naomba link ya mechi ya Serengeti Boys na South nichek online
  13. Mimiwikolo

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Bado CDM nao watangaze kaz kwisha
Back
Top Bottom