Recent content by mimitungi

  1. mimitungi

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Sikutegemea kwa jamiiforums kuwa na voters wa Magufuli.
  2. mimitungi

    #COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

    Hivi dawa ni chanjo tu? Hizi chanzo za ukubwani mi simo.
  3. mimitungi

    Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

    Kukaa kwenye makundi ni muhimu Mkuu. Kinga ya mwili inakuwa developed kupitia kukutana na si kujificha. Mwenye kunielewa anajua namaanisha nini.
  4. mimitungi

    Muda wa wananchi kutotoka ndani waongezwa kwa siku 30

    Hahahaaa! Eti usiku daaa, inaonekana virusi vya usiku ni vikali kuliko vya mchana.
  5. mimitungi

    Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

    The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
  6. mimitungi

    Corona: Kenya yagundua vipimo vya Corona vinatoa majibu tofauti, wakubaliana na Magufuli

    Hakuna ugonjwa hapo, ni usanii mtupu. Njoo Tz uone tunavyojiachia, maisha yamerudi nomo kabisa.
  7. mimitungi

    Corona: Kenya yagundua vipimo vya Corona vinatoa majibu tofauti, wakubaliana na Magufuli

    Tutaambiwa hata dawa unatakiwa kunywa za makampuni tofautitofauti ili kuhakikisha unapona, da.
  8. mimitungi

    Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

    Wako wapi ndugu wanaokufa kimyakimya? Hizi story sasa.
  9. mimitungi

    WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Mkuu usiende mbali, sisi wenyewe tumegundua nyungu na kuondoa hofu kuwa ni dawa ya corona. Mbona hawatuulizi tumefanikiwaje kuiteka corona? Wamekalia vitisho... Sasa hatutishiki hapa kazi tuu..
  10. mimitungi

    WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Hii kitu ina siasa nyingi kuliko uhalisia. Njia zote zinazopendekezwa na WHO kujikinga na corona ni za kihuni na zimekusudia kupunguza kinga ya mwili ili tufe wengi, aayeelewa na aelewe, tusiamini kila jambo ni muhimu kujisomea ili kujua ukweli.
  11. mimitungi

    WHO nayo yataka watu wajitengenezee Barakoa

    Maandamano yatafukuzia mbali corona. Corona inavizia waoga na wanaopenda kimbilia hospital. Hii imeharibu sana ratiba ya akina Gate, dah sijui wanakuja na plan gani...
  12. mimitungi

    WHO nayo yataka watu wajitengenezee Barakoa

    Wakithubutu kutibiwa hospitali waliko akina WHO, tegemea maafa zaidi, na sababu itakuwa BLM. Dunia hii ina mambo.
Back
Top Bottom