mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
Bujibuji 😁 daahBarakoa za ukindu ni nzuri Sana, na zinapendeza.
Bujibuji 😁 daahBarakoa za ukindu ni nzuri Sana, na zinapendeza.
Wakithubutu kutibiwa hospitali waliko akina WHO, tegemea maafa zaidi, na sababu itakuwa BLM. Dunia hii ina mambo.kwaiyo tutegemee maafa makubwa zaidi baada ya siku kadhaa huko ?
Maandamano yatafukuzia mbali corona. Corona inavizia waoga na wanaopenda kimbilia hospital. Hii imeharibu sana ratiba ya akina Gate, dah sijui wanakuja na plan gani...Corona ipo makini sana... baada ya kuona hali imekuwa tete imeamua kukaa pepembeni kwanza timbwili liishe. (Jokes)
===
Kuna ushahidi wa wazi kuwa uonga unachangia kushusha nguvu ya mwili kukabiliana na Corona. Waandamanaji wengi kama tunavyoona kwenye luninga hawana uongo na ndiyo maana kiwango cha maambukizi kimepungua huko hasa kwa hao wanaoandamana (serous)