Recent content by mimimwalimu

  1. mimimwalimu

    Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

    Si hayo tu Na alikugongea mamako pia.
  2. mimimwalimu

    Fedha za Plea-Bargain aulizwe Balozi Mbelwa Kairuki, anajua vizuri sana

    Pamoja na hayo yote our late beloved president alipendwa na kila Mtanzania mwenye akili timamu. Mnaomchukia na kumwita mwovu mpimwe uwezo wenu wa kufikiri. Huyuhuyu mnaemwabudu anaupiga mwingi si ndiye aliyetuaminisha uwepo wa gaidi hapa Tanzania. Au nae mnasubiri Mungu aamue ugomvi waramba...
  3. mimimwalimu

    Fedha za Plea-Bargain aulizwe Balozi Mbelwa Kairuki, anajua vizuri sana

    Umejuaje yote haya brother kama si story zs kutunga. Huu ndiyo muda sahihi wa yeye kuachia ngazi. Madudu kila mahali na wananchi tumemchoka. Nchi imemshinda hii anabak kuimpress msoga.
  4. mimimwalimu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nipo mbagala.. Naachwa wapi nikipanda magari ya huku l.
  5. mimimwalimu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa wale tunaofnya usaili tarehe 30 ngazi ya degree. Usaili unafanyida dar sehem gani maana nimeona unafanyika DPA sjaelewa location sababu mi mgeni hili Jiji
  6. mimimwalimu

    Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

    Mama yetu kwa kupenda ziara.. Nyingine hii hapa kaoneshe uwepo.
  7. mimimwalimu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Uhamiaji wameachia piah?
  8. mimimwalimu

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Ushindi wa Morocco dhidi ya ureno ni zawadi kwa Rais wa JMT Dr Samia Hassan Suluhu. Alisikika kada wa chama cha MAMBUZI
  9. mimimwalimu

    Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Hapo ongezea kusulubiwa kwa ulimboka na mauwaji ya mtwara. Si mnajifanya wasahaulifu wakati msoga mnaliliwa na damu zisizo na hatia
  10. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Hapo sawa. Naichukia sana japo ni mwana uvccm.
  11. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Mwendazake alimnyima ubunge tu. Mengineyo awamu ya 6 ilitekeleza
  12. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Hapana. Huu ni uongo. Rejea kuitwaitwa ikulu kwa mbowe kulambishwa asali ili akae kimya. Ni wazi kuwa mbowe angetia doa utawala wa mzenji.
  13. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Katika hili mwendazake hahusiki. Mpango ungekuwa umesukwa toka mwanzo mashahidi upande wa JMT wasingekuwa wanajichanganya kiasi kile. Hapo mama yenu alivuruga hadi akakimbilia kutoa msamaha kitu ambacho kwa kesi hatari kama hiyo hakipaswi kufanywa.
  14. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Ila mahakama chini ya samia ziliweza kumshitaki mbowe.
  15. mimimwalimu

    Wafanyabiashara walioporwa mabilioni na Mwendazake kurejeshewa fedha hizo na Rais Samia

    Hata mbowe nae alipwe fidia kwa kusoteshwa mahabusu na huyo mzurulaji. Hata iweje, kiutendaji mwendazake was the best. Sema tu ni vile watanzania ni wasahaulifu na ni wajinga pia.
Back
Top Bottom