Recent content by mimi mtakatifu

  1. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Awamu hii kuandika hivi ni kujisumbua tu. Nobody cares
  2. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Yesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.
  3. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nashukuru sana mkuu
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Ukristo na Uislamu navijua toka mtoto. Ukristo nimeuishi, ila kuna vitu nilivyozidi kukua nikaanza kutokuendana navyo. Uislamu pia nimewahi kuujua, lakini ukweli sijawahi kuvutiwa na baadhi ya mafundisho yake wala lifestyle ya Muhammad. Ndiyo maana kwa sasa nimevutiwa na Buddhism na nataka...
  5. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    😂😂😂😂Hapo umenipa homework nyingine. Kuhusu kuchomwa , bado sijafika huko mkuu. Kwa sasa nataka kwanza nijue Buddhism ni nini, meditation, teachings na namna Buddhist anaishi. Mambo ya mwisho wa safari tutayajadili baadaye.😅
  6. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Asante sana mkuu. Hii ndiyo information niliyokuwa natafuta. Nitaanza kwa kufika Mindu na kuongea na viongozi wa temple. Nikifanikiwa kupata maelekezo mazuri nitashare hapa.
  7. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Ni kitu nimefikiria muda mrefu sana.
  8. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Wewe unayo majawabu yake?
  9. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Mimi nipo serious mkuu
  10. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  11. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    My practical experience sio imani.
  12. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Uko nishaenda sana sikupata matokeo.
  13. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Mkuu mimi Yesu nimemuomba mpaka nikaonrkana chizi lakini hajawai kujali effort yangu yoyote 😂😂
  14. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kipimo cha kumuamini ni kipi? Na yeye uwa haoni huruma mtu akipitia mateso akasaidia?
Back
Top Bottom