Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

Unajua dunia iko tayari wakati wowote ule kuumpatia mtu kitu chochote kile anachotaka.

Dunia hii haijui mtu anayo kazi au hana kazi, ila sisi watu ndio tunaona mimi ninayo kazi au sina kazi. Sasa kama dunia hailioni hilo kwanini wewe watengeneza picha ya kuwa hauna kazi. Sasa kumbe wewe ndio gundu hilo unalolisemea.

dunia iko tayari kukupa hicho ulichokitamka au kukiwazia.

Kabla hujalala sema mimi nina kazi kubwa yenye mshahara mkubwa, ukiamka sema vivyo hivyo.

Kwakutamka hayo maneno unakuwa umekwisha tengeneza kazi katika ulimwengu usioonekana ambao ndio utakuja fanya manifestation kwenye ulimwengu ambao wewe unaishi.

Mtu akikupigia simu ukiulizwa vipi kazi mjibu nina kazi kubwa yenye mshahara mkubwa,
siweke any negativity unposema hayo maneno na wala usijione hauna kazi, wewe sahau kuhusu kazi tamka hayo maneno na uiachie dunia kazi yake yaku manifest hilo jambo.

Usije ukawa unasema hayo maneno alafu, unaulizwa vipi kazi unasema huna mara hupati mara unaweza hofu mara wasiwasi kwenye kupata kazi lazima utafeli.

Ask Believe Receive
Mkuu shukrani. Ila nilishajaribu kufanya hii manifestation mpaka kuandika michoro. Sasa ukimwambia mtu una kazi na hauna utapataje msaada?
 
Hili siwezi kuamini hata siku moja. Hakuna uhusiano wa wewe kupata kazi na mganga. Uliamini hivyo lakini siyo yeye alisababisha upate kazi.
Kama hayajakukuta huwez kuyajua
Hakuna binadam asie na iman
Kwann watu wanafanyiwa DUA?
Kwann watu wanaombewa ?
kama unamajibu ya hapo, basi jua binadam kukufanyia ubaya wewe ni dakika sifuri .
Na kama ww unaamini ushirikna upo basi sio wa usiku tu, mpka kwenye biashara upo!
Mtu kukwambia niliend kutatuliwa shida za kimwili na mganga ni sawa
(sisi watu wa iman ya islam tunaambia twende kwenye tiba za Kisunna)
Ndugu zako, baba yako, mke wako, rafiki yako na hata wasiopend wq utoboe kuwazid wanawez cheza karta dume ww ukashindwa kutoboa
 
Back
Top Bottom