Recent content by Mimi Mcha Mungu

  1. Mimi Mcha Mungu

    Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

    Ndugu majina hayapangwi ovyo ovyo kwa watoto inatakiwa ujue wasifu wa jina kabla ya kumpa mtoto kwani majina yanaweza kumletea athari mwanao au faida . majina mengine yanatumika kama kumbukumbu ya jambo fulani hasa zuri kwani wengi hawapendi kukumbuka mabaya,yapo majina yenye kusifu ibada za Ki...
  2. Mimi Mcha Mungu

    Tabia mbaya: Nimemkanya mke wangu, anataka kuondoka

    Mwanamke akiamua akuendee kwa Kalumanzila hana sababu ya kuchukua chupi yako,anaweza kukuwekea kwenye maakuli au hata kwenye nyuchi zao wanakuwekea ndumba na unashikwa vizuri tu tena sikuiz mnavyojidai mnajua kubusu anakupakia hata kwenye lips ili unase kama umechomelewa kwa chuma cha pua
  3. Mimi Mcha Mungu

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    EXTRATORRENTS.CC ni kiboko ya websites zote kwani movies mpya zote utazipata kule,series na documentaries zinapatikana ila tatizo ni kwamba Unapo-download movie inatakiwa u-hide IP ADDRESS kwani inakua inaonekana na wenye haki miliki hivyo Unaweza kumbana na mambo ya LAW SUITS.Wataomba msaada...
  4. Mimi Mcha Mungu

    Masista (nun) wa Catholic wanavyofanya Kilimo Na Biashara ya Bangi

    Huwa nawachukia sana watu wenye akili finyu kama wewe, unawezaje kusema mapadre wanagongana? Tumia busara kidogo unapotaka ku comment kitu
  5. Mimi Mcha Mungu

    Picha zinatisha: Dereva bodaboda akamatwa akisafirisha maiti

    Ni kweli kabisa hata huyo boda boda ametoa msaada tu kwa wafiwa na wala hakuangalia suala la pesa.Alikua na uwezo wa kukataa kwakua mjini wateja ni wengi sana lakini kaangalia shida walizonazo wafiwa
  6. Mimi Mcha Mungu

    Tabia mbaya: Nimemkanya mke wangu, anataka kuondoka

    Kuto kuvaa chupi kunategemea size na jinsi gani PENIS yako iko active katika kushtuka hasa unapohisi matamanio ya kimapenzi,wanaume wengine huvaa chupi na boxer ili kuzuia nyeti zao zisiwe huru sana kwakua wapo wenye size kubwa zaidi na hao ndio naowazungumzia ili wewe mwenye size ya kawaida au...
  7. Mimi Mcha Mungu

    Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

    Asilimia kubwa vijana hujiunga kwaya kwasababu ya vitu fulani wengine ndiko wanakoenda kufanyia uasherati kwakua ni rahisi kukubaliana kwakua muda mwingi wanakua pamoja.Enzi zangu wakati nimetawaliwa na tabia za kishetani nilikua muimbaji mzuri wa kwaya na nilipata kacheo fulani kanisani lakini...
  8. Mimi Mcha Mungu

    Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

    Ninawajua vizuri sana wanawake wa Dar ndio maana nikaeleza hayo,endapo ningekua mzinzi kama mbuzi ningewafyatua wengi tu
  9. Mimi Mcha Mungu

    Kampuni ya king'amuzi cha digitek imekufa?

    Subiri waje wanaofahamu issue hiyo wakujibu
  10. Mimi Mcha Mungu

    Kweli hii ni bahati yangu

    Kusomesha mwanamke ni sawa na kujenga nyumba barabarani. Mwanamke hasomeshwi ndugu maana hawa kobe hawabebeki jamani nakumbuka nilisoma chuo fulani na mke wa mtu tena bwana ake tunafahamiana sana lakini mwanamke kwakua alikua mzuri basi alishindwa kukwepa vishawishi mara akaanza kufyatuliwa na...
  11. Mimi Mcha Mungu

    Tabia mbaya: Nimemkanya mke wangu, anataka kuondoka

    Tatizo liko wapi? Kama yeye ndio huwa anafua chupi zako kwanini asizikague? Maana wanaume wengine tunajua kuvaa tu ila kufua hadi pupi unamwambia mke afue na kwakua anajua ni kazi yake basi hana budi kuzikagua. Wanaume hatuaminiki japo si wote huenda alipewa akili na dadake asikuamini sana...
Back
Top Bottom