Recent content by Mimi k

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye Titi

    thanx,bt operation c ndo kukatwa titi huko,na hz dawa naweza kununua tu au mpk niende hosp?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafua yanatoka na damu

    Habar wanajf,ndugu yangu huwa anasumbuliwa sana na mafua hakila nyama au akipatwa na vumbi,sasa hv anaumwa mafua hakimeka yanatoka na damu na km vpande vya nyama vidogo,msaada plz
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye Titi

    asante kwa kunifahamisha,matiti yangu ni madogo na yanapishana bt sio sn yapo hvyo kwa miaka mingi tu la kushoto ni nene na kulia nene kdg bt la kushoto sametime nikiligusa linauma,ila hzo dalili ulizozitaja sina,wakati mwingine linauma nikikaribia kupata hedhi nikimaliza linaacha na linapungua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye Titi

    Habari,ningependa kufahamu dalili za kuwa na uvimbe kwenye titi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vaginal fungi infection.

    kuwa na funguc mara kwa mara inawezekana kinga ya mwili imeshuka?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitu usichokijua kuhusu ‘juisi ya boksi’

    ubarikiwe sana!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fideline Iranga amekuwaje?

    labda ni ile diet km ya hassanal jaman!
  8. M

    JamiiForums Tanzania je nikaze roho nimkubali huyu kaka???

    kusema tumeumbiwa binadam,so usiogope maneno,watu wapo hai na wanasalitiana itakuwa hyo ameshatangulia,km moyo wako umependa bac sioni tatizo fuata moyo wako mpendwa,labda mungu ndo amekuchaguria hyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kitambi kinapunguza perfomance kitandani?

    usiogope na icho kitambi chako mbona wadada wanaweza kukimanage vizur tu icho
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunyoosha matege ya miguu kwa kitoto kichanga

    mpe juice ya carrot kwa wingi,hata chakula anachokula pia mchanganyie na carrot,ndugu yangu alitumia sn hvyo kwa mwanae alishauriwa,ss hv huwezi kumjua km alikuwa na matege
  11. M

    JamiiForums Tanzania makwapa meusii!!

    Nikwambie ummy mpendwa,fata ushaur wa doctoz,na ukiwa unanyoa tumia shaving cream km vle veet zpo nyingi tu kuna ya dry skin na oil skin ww utajua ngozi yako ya vp
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fistula

    Habar jaman, Kwa anayefaham ningependa kujua huu ugonjwa wa fistula dalili zake ni zipi na unasababishwa nini? Ningependa ni faham plz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya sex kwa afya ya mwili kwa watu walio owana kihalali

    mmmh cjayajua yote hayo,nw i knw
  14. M

    JamiiForums Tanzania Habar

    thanx a lot
  15. M

    JamiiForums Tanzania Habar

    Swali,inawezekana kwa mwanamke ukaona bleed wkt wa kujisafisha ukahic ndo unataka kuingia kwenye period lkn ikawa haitoki tena? Cjui nimeeleweka
Back
Top Bottom