Ni kweli kitambi kinapunguza perfomance kitandani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kitambi kinapunguza perfomance kitandani?

Discussion in 'JF Doctor' started by RECYCLER, Feb 21, 2012.

 1. R

  RECYCLER Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazoefu hebu fungukeni kuhusu kitambi
  na uwezo wakufanya mapenzi
  How does it affect?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi wenye vitambi wanakua wanene na wazito,na moja ya vitu vinavyochangia performance ni mazoezi,sasa ukiwa na ndambi ya kufa mtu lzm utashindwa kupiga mzigo effectvly.
   
 3. a

  alan Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe alikudanganya nani kitambi ninacho na mzigo unapigwa kama kawaida
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  dawa ya kupunguza ni kupakata vimwana, kila cku 2 by 2 goals is equal to 4.... haaaa
   
 5. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  hata kama huna kitambi hy ki2 ina utaalamu wake, kitambi cyo tatizo, kuna sehemu za kona, kuna freekick, kuna mpira wa kurusha, kuna penalt na kuna goli pia vyote hvy hata kama huna kitambi unaweza uc timize na kuonekana hufai kwenye game. Sawaaa
   
 6. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  ila ndambi ikiwa kubwa inakuwa ngumu kukonekti hata bambi linakuwa slow mo sana......
   
 7. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unene ni biological error, so inategemea muhusika anaathirikaje in relation to ku-do,
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kitambi hata kama muhusika anajituma lakini kinakera,kwenye chali ndio kabisaaaaaa mauthi bora style nyengine afadhali.
   
 9. M

  Mimi k Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usiogope na icho kitambi chako mbona wadada wanaweza kukimanage vizur tu icho
   
 10. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kitambi ni kweli hupunguza hamu ya kufanya mapenzi kwasababu 1.wasiwasi. Mara nyingi mtu mwenye kitambi huwa na wasiwasi kutokana na umbile lake ,wasiwasi hupunguza circula tion ya damu kwende kwenye penis kwa ajili ya erection na pia huzui contraction ya muscles za testis kwa ajili ya ejaculation 2. Mtu mnene huwa hana nguvu kwa sababu ya uzito wake 3. Fat husabisha magonjwa kama presha (hypentension) ambayo huambata na kuzuia ejaculation
   
 11. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,354
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  nikweli
   
 12. F

  Ferds JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  we ulishaona mwizi akajitangaza hadharani
   
 13. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unajuaje kama unapiga kama kawaida? kwani umewahi kuona mwanaume mwenzaka anavyopiga? yaani ulijicompare na nani?
  kama huna comparison unaweza ukadhani una perform vizuri kumbe unamchosha demu wako
   
 14. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ukiwa na kitambi unachagua style yakutumia lakini kama huna kitambi utatumia style yoyote sasa hapo ni sawa jamani?
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,220
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  hubby wangu anakitambi na ngoma inapigwa sawasawa, inategemea na mtu pamoja na style za kudo ila kiukweli kuna style zingine ngoma huwa inagoma kbs
   
 16. n

  ngilenengo1 JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Hii hoja ni lazima tuiweke bayana kama inahusu wanawake pekee au waume pekee au wote kwa pamoja:
  1. Kwa wanawake wenye vitambi: hawa watakuwa wanahangaika sana kupata raha ya ile kitu. Atahitaji mwanaume mwenye kitu kirefu kidogo ili kiweze kupenya minyama yote hiyo.
  2. Kwa mwanaume: Kitambi kinaleta athari za kisaikolojia na kumfanya aone kuwa uume wake ni mdogo na hivyo kumpunguzia kujiamini. Pia kuna raha kuona kwa macho jinsi kitu kinavyozama na kuibuka .......!!!! ahaha au vipi???????
   
Loading...