Recent content by Mimi chuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lowassa na Kingunge kutimukia UKAWA hizi hapa

    We endelea kulala tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Pengo ni sawa na Zitto tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    uhuni wake nini, wakati tangu 2002 wamekuwa wakiadhimisha siku hii?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa alaani kupigwa, kuteswa na kukamatwa Professor Lipumba

    ni sheria ipi inayosema ukiandama upigwe? ni sheria ipi inayompa mamlaka police kuamua kuwa juu ya sheria zote ikiwamo katiba ya nchi? ni sheria gani inayokuwa kubwa kuliko katiba ya nchi? najua hutajibu kwa vile huna uwezo kujibu maswali hayo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

    Ni vizuri sasa unaelewa kuwa dkt Slaa ni rais wa wote. Siku nyingine akipata mwaliko wa waislamu pia atahudhuria
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Dr Slaa kukutana na wanahabari leo

    Nchi ilishauzwa zamani sana na chama cha zamani(CCM). Kwani Tanzanite inapatikana wapi? kwani wenye dhahabu ya geita ni watanzania? au Wenye almasi ya Mwadui ni Watanzania, Vivyo hivyo itakuwa na gesi n.k. umechelewa sana ndugu yangu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

    cd ya kale, huichoki tu? Mwenye mke mwenyewe ni nani? Acha wivu bwana. Ukipenda na wewe si ujilengeshe?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Kamati ya Bunge wana haki kisheria kuwapeleka Viongozi wa Serikali Polisi?

    Yalikuwa maigizo tu, polisi walikuwa tayari wanazunguka karibu na eneo la tukio.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama vijana walilipwa Tsh 50,000 kuvuruga kongamano Ubungo, wakipewa 50ml wataifanyaje nchi?

    Kama ni hivyo basi nchi hii imeoza, maana mambo yote hayo yanafanywa na CHADEMA na wewe ushahidi unao, halafu hakuna kiongozi yoyote wa serikali hii CCM, anayestuka, kuanzia ya Ulimboka mpaka ya Warioba hakuna hata mtu yeyote ambae ashafungwa! Tukisema mnafanya uhalifu wenyewe tunakosea wapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM/Makonda hawajampiga Jaji Warioba

    mbona hujajibu hoja?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    shida kubwa, kubwa, kubwa, kubwa.... kwa vijana wa TZ, ni kutojua na kufikiri kuwa wanajua. kujua kunatokana na kujifunza basi! utawakuta vijiweni wanapiga kelele, lakini hawana maarifa ya kutosha. ndio haya ya CRDB.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    shida kubwa, kubwa, kubwa, kubwa, kubwa,......... ya vijana wa Tanzania ni kutojifunza, na hivyo kutokuwa na taarifa za kutosha, LAKINI kwenye mijadala wamo! Sawa usijadili kuhusu kitu usichokuwa na taarifa nacho eeeh!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lindi Wananchi watandikwa viboko ili kuchangia maabara

    kweli kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanachama wengi wa CHADEMA ni watu waliokata tamaa ya maisha

    Kwa hiyo ndio maana mnatumia kodi yetu, kufanyia utalii wa kuizungukuka dunia, badala ya kuboresha maisha yetu?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mangula: Ndoa ya UKAWA ni feki

    Mangula bwana, mbona ameogopa kutaja mwaka 2010 walipata kura ngapi?
Back
Top Bottom