Samahan naomba mnijulishe kwa mweny diploma CPA ataisoma kwa miaka mingapi? Na ataanza level gan?? Na gharama zpoje?? Naombeni mnisaidie nijue na mim[emoji120]
Na watu huwa tunapuuzia Sana biashara za mifugo Kam kuku au ng'ombe, na ndiyo biashara zinazolpa. kuku unawez ukafuga wa mayai au wa nyama ukajiingzia kipato, na ng'ombe ni wa maziwa kwa san so tuchangamkie fursa[emoji3]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.