Recent content by milundikwa

  1. M

    Lowassa azidi kupokea lundo la watoto, Toka aanze kugombea URAIS!

    Kama CCM walidhani nchi hii bila wao hakuna maendeleo Muda ni huu sasa kwa UKAWAAAAAAAA unajisikiaje kundi la watu wakisema eti goli la mkono haya ni matusi tosha hata huyu Nape kusema hivyo anasubiri Oktoba, 25 kuona jinsi kundi la wajinga wanampa kura hasa jimboni kwake wapi CCM na hati ya...
  2. M

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Magufuli si msafi hata kidogo amewekwa kulinda maslahi ya wana CCM tu.
  3. M

    Jeshi la Polisi linapofadhiliwa na wauza Madawa ya Kulevya, Nini hatma ya Taifa letu?

    CCM chama Kinawajua wauza unga nao wanapata pesa humo humo
  4. M

    IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

    Kweli kama aliyatamka haya kwanini uchunguzi uendelee badala ya kukamatwa huyu jamaa au anaogopwa kwa kuwa ni naibu katibu mkuu CCM? hii hali huenda alihusika moja kwa moja na kujua kuwa yeye ni kiongozi wa chama tawala basi hawezi kufanywa chochote. Kwa upande wangu sioni kama huwa kuna jambo...
  5. M

    Mwanamke wa kirangi

    Nmesoma post zenu juu ya mwanamke wa KIRANGI kama mnavyojua hata rangi yao kwa kuwa huwa ni weupe sana sasa hutumia rangi zao vibaya sana kwani hawana tabia ya kuwakataa wanaume siku zote wao huzani ni huruma. Kaka plz usijaribu hata kidogo ukajuta siku za mbele, angalia tabia zingine so general...
  6. M

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    Mmmmmmh! huyu Mwingira sasa anautani na serikali hiyi ya Kidharimu kwani wamemfanyia nn tena au mashamba yake yamedhulumiwa kisha akaanza kuiona serikali ni mbaya????? mwache ataipata dawa yake!
  7. M

    Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    Hii na mm pia nmeikubali kwani walioweng wakimwagwa au kuchunwa zaidi zao huwa ni madongo ambayo hayasaidii zaidi uchwala2, Madada endeleeni kula shule huyu hana jipya!
  8. M

    Lema yuko live Sunrise Radio sasa

    Waoooh! Kijana Lemma (MB) tema cheche ili kila neno utakalosema liwe mkuki kwa Mlongo (Muongo) kwani ukibaraka wake ndio unamfanya achukiue maamuzi ya Kipuuzi/kijinga
  9. M

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Haya mambo wanayoyafanya viongozi wa Arusha ni unyama ambao ipo cku utakwisha2. Naamini Mungu yupo nawe Mr Lemma (MB) atakutendea mengi makubwa "Endelea kusema ukweli na utapata Rehema zake mola hata akutangulie mbele katika uchaguzi wa 2015 uwe mshindi tena ili hawa CCM kiwaume zaidi kwani cku...
Back
Top Bottom