IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

Kwann unapindisha mjadala??? Mjilipue wenyewe ili kupata huruma halafu muanze kutupigia kelele hapa.


Maneno hayo ya kejeli unayazungumza sasa kwa kuwa wewe mwenyewe au familia yako au rafiki wa karibu hakupoteza maisha. Kama mmojawapo wa hao angepoteza maisha nina uhakika ungekuwa na uchungu moyoni mwako. Hata hivyo kuwa na uchungu siyo lazima yule aliyefikwa na janga hili umfahamu. Lakini kama una ubinadamu hata kidogo itakuuma. Ni mwenda wazimu tu anayeweza kujilipua kwenye mkutano wake mwenyewe tena wakati akiwa anaomba fedha kwa wananchi. Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua hili. Lakini kama elimu yako ni ya kuungaunga kama ya baadhi ya jamaa zetu, huu ndiyo mwisho wako wa kufikiri.
 
serikali ilichukulie hili jambo serious sababu litatuathiri watu weng kuhudhuria sehemu zenye mkusanyiko,wasifanye siasa hapa wakati watu wamepoteza maisha kna nape wanaongea ujinga tu et cdm wamejilipua,igp kamataa wote wanaoleta siasa kwenye uhai.
 
Wenye taarifa zaidi tumeni sms kwenye namba hiyo na ole wake asipoufanyia kazi huo ujumbe

Huyo Mwema anazingua tu kwani asiyejua hata yeye anapokea maagizo toka kwa Mwigulu. Hapa hatuna polisi bali tuna majambazi wanaovaa sare wakishirikiana na majambazi wenzao ccm kuifilisi nchi.
 
Kweli kama aliyatamka haya kwanini uchunguzi uendelee badala ya kukamatwa huyu jamaa au anaogopwa kwa kuwa ni naibu katibu mkuu CCM? hii hali huenda alihusika moja kwa moja na kujua kuwa yeye ni kiongozi wa chama tawala basi hawezi kufanywa chochote. Kwa upande wangu sioni kama huwa kuna jambo linafanywa huku vingozi wa vyama hasa chama tawala wasihusike kwani hawapendi kupoteza madaraka.
 
Mwigulu is above the law! Hata wewe Said Mwema unapiga mayowe tu, huwezi lolote lile
 
ujasiri huo hawana hili nalo litapita tu....mtela na mwigulu wanahusika sana..tazama matamko yao siku waloingia arusha utabaini walijua nini kinafuata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom