Nimejaribu kuangalia hiyo guidebook nimeona kama haijamzungumzia mtu wa form six alikosa vigezo vya kuingia degree sasa anataka aombe diploma kupitia nacte ila nimeona tu kwengine uwe na d nne za form 4 au uwe na nta level nk sasa sijaelewa ina maana huyy mtu wa form six nae akitaka kuanza...
Nna mshikaji anaitwa mbox anajichetua lkn ana akil sanaaaaa kama wewe umefafanua vizuri sana sasa mi nataka unifafanulie hapa kama kwa upande wa form six wamefafanua vizuri kulingana na mwaka husika mtu alipmaliza je hui gpa ya 3.5 inamuhusu nani hasa mwenye diploma yoyote hata kama alimaliza...
Hahaha watanzani kweli vinyonga hahaga sio wote lakini eti sasa tunalalamika tumebaniwa kwenda vyuo vikuu hapana utaanzia hata diploma ndugu chuo kikuu kuingia inategemea umefaulu vp na ulipapambanaje sijaona mtu akilalamika eti necta wameweka points kali hii inaonesha mambo yalikuwa easy huko...
Hongereni wote mliofanya vizuri na hongereni pia mliokuwa na point za kwenda vyuo vikuu ila huku msoto ni ule ule hakuna cha ajabu sana leo tumeona mwongozo wa points tu sasa tusubiri guide book yao kwani hiyo ndo itadhihirisha ushindani wa kupata chuo flani uko vip kwa sababu kwa tathmin...
Ok nilitazana kwa mwendokasi hapo kweli hapo kuna makosa lkn kwa tcu kwani wao naona walitakiwa waweke kama necta kwa maana B+ Wameiacha sijui lkn au ndo kulupuka kwenyewe au vp thanks kwa kunikumbusha
Uliyeleta mada umekuja na nia njema ya kutaka kujua lkn sie watoa majibu nasi tunakulupuka sijui ok lengo langu ni kwamba siamini kama hicho mnachojadili kipo ama nini kwani wale mnaosema grade za chini ndizo zinazofahamika hadi nashuleni mnlipofanyia mtihani mpo sawa na ndo kama ilivyitangazwa...
Ni kweli kwamba zitazotumika ni hizo ulizomwambia lkn si kweli kwamba hizo za juu zilitumika 2014/2015 hizo bila shaka ni zile grade za zamani kabla ya mfumo mpya wa 2014/2015 aliyeleta mada kazihofia hizo grade kiboko sanaaaa
Kama mnakumbuka hata nacte walikwishatoa tangazo kusema kuwa wamesitisha kupokea maombi ya wanaotaka kwenda degree lkn kwa kpnd kile wanaoruhusiwa kuomba ni wale wanahitaji kujiunga kwa ajili ya cheti na diploma ingawaje waliruhusu hapo walipofungua mfumo alafu ghafla wakasitisha kwa upande huo...
Jamani hivi wamechanganua vizuri upande wa form six khsu suala la mwaka husika mtu aliomaliza lkn kwenye hizo equivalent applicants mbona hawajaconsider suala la muda naomba ufafanuzi plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.