Wanaolalamika kwamba TCU imepandisha madaraja ya kwenda Vyuo Vikuu hawana vigezo

Hongereni wote mliofanya vizuri na hongereni pia mliokuwa na point za kwenda vyuo vikuu ila huku msoto ni ule ule hakuna cha ajabu sana leo tumeona mwongozo wa points tu sasa tusubiri guide book yao kwani hiyo ndo itadhihirisha ushindani wa kupata chuo flani uko vip kwa sababu kwa tathmin niliyoifanya mpka sasa naona mwenye div 1, 2 na 3( 13point) ndo atakayekwenda chuo kikuu lakini sasa utakwenda chuo kikuu gani ndo itajulikana baadae
Nadhani nishaeleweka nini namaanisha .......
Nawasilisha
 
Hahaha watanzani kweli vinyonga hahaga sio wote lakini eti sasa tunalalamika tumebaniwa kwenda vyuo vikuu hapana utaanzia hata diploma ndugu chuo kikuu kuingia inategemea umefaulu vp na ulipapambanaje sijaona mtu akilalamika eti necta wameweka points kali hii inaonesha mambo yalikuwa easy huko lkn sasa ili uingie chuo kikuu two DD + E vinginevyo anzia diploma mbona wengi tu walifanya hivyo then mtakutana mbeleeeee
 
Unajua waTanzania tumeifanya nchi yetu kuwa ni ya hovyo hovyo katika kila sekta.

Hongera rais wangu JPM, waziri Ndalichako na TCU katika hili. Ni lazima turejee kwenye misingi ya ubora.

Tunapata shida sana makazini hasa kwenye utendaji wa hawa vijana wa elimu fasta na hata wakati wa kuajiri. Unaweza kuita vijana 30 kwa nafasi 2 na hapo usipate hata mtu mmoja anaefaa.
 
Humu weng ni vibaraka na tena ni wanafiki tu. Mimi nafikiri ungekuwa na mdogo wako au wewe haujapata D hizo mbili sidhan kama ungesupport
hii kitu.

Na weng humu kama vile wana kinyongo wamemaliza chuo huu mwaka wa 3 kazi hana kashehangaika mpaka kachoka kwahyo kwa vigezo vya TCU naye anashangilia.

Mwingine alienda chuo kipind kile kwa ufaulu wa EEE, BEE, DEE & CEE au kwa DVN 3. Mwingine O- level alikomaa kweli kutafuta credit 1 wengine 2,
3, kuna wengine wao wali reset km mara 2 ndiyo wakapata credit za kwenda advanced level.

Kuna wale waliofeli form 6 wakaenda diploma leo kafika chuo naye ni mjuaji eti anajiita kipanga. Kuna wengine yy alifeli darasa la 7 ikabid anunue jina kwa kipanga aliyefaulu kwenda form 1 hata jina analoitwa nyumban na kweny cheti tofauti.

Kuna mwingine huyu alitumia cheti cha form 4 cha mtu aliyekufa kusoma form 5&6 naye anajiita kipanga , kuna mwngine chuoni kapata supplementery za kutosha na aka carry course. Kuna mwingine kaz aliyonayo katoa penzi na wengine wametoa rushwa, wengine wameenda kwa sangoma ili apate naye yupo humu kakomaa kweli anataman hata abebe bango aandamane mtaani kusupport vigezo vya TCU.

This is a quantity education and not a quality education Tanzania ya maisha magumu imefika sasa. Nadhan meanza kuimba namba sasa. Naona
ndugu zangu wameanza kuishi kama mashetani.
 
Utara"Amon Mtekateka, post: 16864675, member: 229703"]Jarbu diploma mkuu[/QUOTE]
Utaratibu wa kuanza diploma ukoje
 
Hahaha watanzani kweli vinyonga hahaga sio wote lakini eti sasa tunalalamika tumebaniwa kwenda vyuo vikuu hapana utaanzia hata diploma ndugu chuo kikuu kuingia inategemea umefaulu vp na ulipapambanaje sijaona mtu akilalamika eti necta wameweka points kali hii inaonesha mambo yalikuwa easy huko lkn sasa ili uingie chuo kikuu two DD + E vinginevyo anzia diploma mbona wengi tu walifanya hivyo then mtakutana mbeleeeee
sio kwamba watz ni vinyonga mzee ila ukiona mtu analalamika ujue ni muanga.
 
Mkuu ningependa kuuliza kuwa,nimemaliza form 6 mwaka huu.Nina D ya biology,D ya agriculture na E ya chemistry,je nitaenda chuo? Na Kama nitaenda ukiachana na SUA ninaweza kwenda chuo kipi kengine na course IPI ukiachana na za kilimo coz chemistry Nina E?
SUA unaeza kwenda ila sio kila course unayoitaka utaweza kuchaguliwa nyngn zna competition.
 
Forest Hill Secondary ile iliyochukuliwa na Islamic Foundation imekuwa ya mwisho kwa mkoa wa Morogoro alafu hakuna ata mwanafunzi mmoja mwenye sifa za kujiunga na chuo kikuu kwa namna yoyote ile cha ajabu nao eti wanakomaa na waraka wa TCU.
 
Naomba mnisaidie kuwa wametumia viwango gani,yani grades.naomba ufafanuzi wa grades
vigezo vipi unavyozungumzia,ni vya kupata chuo fulani na course fulani au?? Kama unamaanisha hvo hapo issue ni competition tu so kama unamalengo au ndoto za kusoma chuo fulani unaweza kuchagua course ambazo haziombwi na watu wengi pia kama unaona inahitaji watu wengi.Lakini kama unataka course nzuri na una matokeo hafifu angalia tu chuo ambacho hakiombwi sana,kikubwa usikosee kuomba chuo maana vyuo vingine ni changamoto.
 
Humu weng ni vibaraka na tena ni wanafiki tu. Mimi nafikiri ungekuwa na mdogo wako au wewe haujapata D hizo mbili sidhan kama ungesupport
hii kitu.

Na weng humu kama vile wana kinyongo wamemaliza chuo huu mwaka wa 3 kazi hana kashehangaika mpaka kachoka kwahyo kwa vigezo vya TCU naye anashangilia.

Mwingine alienda chuo kipind kile kwa ufaulu wa EEE, BEE, DEE & CEE au kwa DVN 3. Mwingine O- level alikomaa kweli kutafuta credit 1 wengine 2,
3, kuna wengine wao wali reset km mara 2 ndiyo wakapata credit za kwenda advanced level.

Kuna wale waliofeli form 6 wakaenda diploma leo kafika chuo naye ni mjuaji eti anajiita kipanga. Kuna wengine yy alifeli darasa la 7 ikabid anunue jina kwa kipanga aliyefaulu kwenda form 1 hata jina analoitwa nyumban na kweny cheti tofauti.

Kuna mwingine huyu alitumia cheti cha form 4 cha mtu aliyekufa kusoma form 5&6 naye anajiita kipanga , kuna mwngine chuoni kapata supplementery za kutosha na aka carry course. Kuna mwingine kaz aliyonayo katoa penzi na wengine wametoa rushwa, wengine wameenda kwa sangoma ili apate naye yupo humu kakomaa kweli anataman hata abebe bango aandamane mtaani kusupport vigezo vya TCU.

This is a quantity education and not a quality education Tanzania ya maisha magumu imefika sasa. Nadhan meanza kuimba namba sasa. Naona
ndugu zangu wameanza kuishi kama mashetani.
Je wenye div 3 ya 15 hawasomi degee
 
Anayetaka aende chuo kikuu asome kwa bidii na ajitume ili akidhi viwango vilivyowekwa na TCU. Haiwezekani mlalamike kwamba iachwe nafasi kubwa ili mpite tuu bila kuwa na ufaulu bora eti kwasababu mnataka kwenda vyuo vikuu.

Hivi mnafikiri ukifika chuo kikuu ndio umefika kwenye maisha mazuri au mnafikra gani kuhusu suala hili? Kipindi kile mlilalamika kuhusu kidato cha nne kwa suala la GPA, Ndalichako akarekebisha leo hii wameweka vigezo bora mnalalamika. Hivi mnataka mfike vyuo vikuu au mpate maarifa? au mnataka nini?

Mwenye uelewa kuhusu elimu hawezi akaishutumu TCU hata kidogo kwasababu vyuo binafsi vimeharibu elimu ya Tz kwa kiasi kikubwa na vya kutosha.

TCU nawapa pongezi sana, mmesababisha vijana wajitume na wasome zaidi, hongereni maana mmewazibia milango wanaopenda njia za panya ili wafike kileleni.

Hivi kwa akili ya kawaida unataka ufike chuo kikuu kwa point 2 halafu we nae ujiite mwanachuo? Na ndio maana hao wamejazana vyuo binafsi mahali wanakojua kuna point ndogo na ukienda hakuna kusapu wala kudisko, pesa ndio inafanya kazi.

Asiyetaka vigezo vya TCU akalime, akafanye biashara nk maana nafasi bado ni kubwa mno. Najua kuna wachache watakaokurupuka kushadadia mada na kutoa hoja nyepesi kama uji wa ngano maana wamezibiwa nafasi kwa viwango bora wasivyotaka,, lakini sijali nazidi kuwapa hongera TCU na kama Ndalichako ndio kafanya haya basi basi asiitwe prof, tumwite Sir Ndalichako.

Najua haitochukua muda mrefu kuna wanasiasa fulani watapanua midomo yao na kuipinga TCU kwamba haitaki Vijana wasome wakati hao hao ndio wanaolalamikia elimu ya Tz kwamba haina ubora na imeshuka thamani.
Nawasubiria wanasiasa, wataalamu wa elimu nk watakao washutumu TCU au watakaowapinga TCU ili nile nao sahani moja maana mmezidi unafiki.

Elimu sio kampeni wala bungeni mahala ambapo kila mmoja anasema anachojiskia. Elimu ni moyo wa Taifa inahitaji watu wenye ufaulu bora ilia tupate wataalam sahihi.

TCU asanteni sana wasio na vigezo ndio wanaoshangaa madaraja mlioweka vipanga hawana shida.

# WASOMI WA TZ NI WANAFIKI TU. UKILETA HIKI WANATAKA KILE UKILETA KILE WANATAKA HIKI.
Wewe huna jipya! Wakuu wako nchi wote waliunga elimu zao unaongea nini wewe? Mtu kupata div 3 haimaanishi kua alishindwa mtihani ni kutokana na mtu alivyoamka! Watoto wa maskini kule vijiji waliobahatisha angalao div 3 zao kutokana na mazingira magumu wewe unataka waende wapi? Unafikiri diploma hiyo inasomwa bure? Kama umekariri ukapa vi-D vyako viwili huko St Marrys unafikiri wote walikua na uwezo huo? Nini maana ya kuongeza vyuo vikuu nchini? Badala ya kujadili ni ipi njia bora ya kuhakikisha kua kila mtanzania anaenda chuo kikuu wewe unaleta up.um..bavu wako humu.
 
jamani vipi hakuna taharifa yyte ya kuhusu prffsional boardies???NBAA ,PSPTB/NBMM,nina maana viongozi wa nchi hawajazungumzia?
 
Back
Top Bottom