Recent content by Millioner

  1. Millioner

    Wahusika ondoeni huu ukiritimba wa mishahara kwenye majeshi yetu.

    Wazo la mtoa mada ni zuri sana kama lingemfikia Mwinguru Nchemba angelifanyia kazi .
  2. Millioner

    Naomba kujulishwa mfumo wa hedhi ulivyo

    Nimekuwa nikikutana na dem wangu kwenye siku zake za hatari lakin hakupata mimba, lakin uwezo wa kubeba mimba anao na mimi uwezo wa kufetilize ninao, sasa hapo tatizo linakuja wapi?
  3. Millioner

    Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    Hivi mkuu hapo Polisi wanakamatwa na nani,au wanatumia busara kujipeleka mahakamani....haaa it's kind of comedy
  4. Millioner

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Hii ndo thana nzima ya HAPA KAZI TU,sasa kama alipewa ripoti potofu hakahacha kuifatilia hayo mapungufu tiari ya kiutendaji.
  5. Millioner

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Prof.Muhongo nikiongozi bora maana ameweza kwenda sambamba na speed ya JPM,Tatizo la watanzania wachache hawapendi kuona Tz inasonga mbele,inasimama yenyewe kwasababu kuna illegal benefits alikuwa anapata kupitia mladi fulan au nduguye ametumbuliwa,sasa jaman hivi ni vibaya wanyonge kama cc...
  6. Millioner

    Kujiunga na jeshi la Polisi baada ya kuhitimu shahada ya kwanza ya uuguzi

    Hapana hapewinyota mpaka miaka 3 ipite,mkaguzi ni askari anayekagua askari wachini ktk shughuli za kila siku za kipolisi.
  7. Millioner

    Kujiunga na jeshi la Polisi baada ya kuhitimu shahada ya kwanza ya uuguzi

    Akijiunga na jeshi la polisi atakuwa shart kwanza attend recruit course ya polisi,then atapangiwa majukumu ya taaluma yake,kupanda cheo ataanzi nyota moja yaani mkaguzi msaidizi,,mshara wake basic salary 860,000tsh atalipiwa nyumba ,ujuzi alionao,priority ya kusoma utegemea na priority ya jeshi...
  8. Millioner

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Wakati wa kuikomboa nchi kutoka kwenye mikono ya wakoloni weusi na weupe maranyngi kunaibuka chamgamoto nyingi sana maana watu utumia ile slogan ya if you can't convince them confuse them, sasa hapa naona watu wanatumia udin kufifisha ufisadi uliyo ishi miaka mingi,Lakin katika harakati za...
  9. Millioner

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Jambo la msingi nikumuombea Rais wetu ili atimize alichokihadi,maana wakati anatoa ahadi watu walisema hawezi sasa wakae kitako mafisadi roho inataka kuwatoka wakisikia jina Magufuli.,Mfumo sasa unabadilika simulikuwa mnataka mfumo,?sasa give support to JPM.
  10. Millioner

    Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Pole sana kwanza mkuu,hapo jambo LA msingi tenga siku maalumu ambayo utakuwa na mda wa kutosha umfurahishe ata kwa Kumtoa outing then katika hali ya utulivu muulize ilo tukio,husioneshe hali ya kukasilika maana anaweza kukuficha ukweli wenyewe. H?sila hazijengi.
Back
Top Bottom