Recent content by Milling

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha mbona magumu hivi?

    Ujumbe mzito sana huu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natengeneza 30,000/= kwa Siku, niache kazi Serikalini?

    Watu wanachukuliaa biashara kitu laisi sana , Faida milioni moja kwa siku basi Kila MTU angefanya biashara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Microfinance nzuri ya ukopeshaji

    Kumbe inawezekana kufanya hivyo,Asante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka

    Bei inategemea na Size ya mashine na mota , jaribu kuwatafuta Sido tabora watakupa Ufafanuzi zaidi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka

    Mashine za Sido ndio nzuri zukani zitakusumbua, Sema Upo mbali, mimi nipo Dar es salaam, Namiliki mashine ya Kukoboa na kusaga mizigo midogo midogo na Mikubwa pia zinasaga Pia, mashine yangu ya kusaga Nilitengenezea Dodoma Karibu na Soko La mahindi kibaigwa, na ya Kukoboa nilitengenezea hapa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka

    Unataka kufanyia wapi Biashara Yako, Hizi mashine zipo za mahitaji tofauti, zipo mashine za kusaga na kukubo mizigo midogo midogo. Pia zipo mashine ambazo zinasaga unga wa Biashara ule wa kupack sasa wewe unataka kufanya nini katika hivyo viwili? Kwa kuongezea mashine zizosaga mizigo midogo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya biashara

    Ujue mnapokuwa mnaandika vitu mjua kuna watu humu wanafanya Biashara tena kubwa tu , kwahiyo MTU akisoma post yako anauwezo wa kuichanganua kila Kitu halafu anaona hakuna kilicho andikwa zaidi ya tangazo tu La Biashara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya biashara

    Hahahaha!! Hatari sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya biashara

    Nilikuwa nataka kuona mwisho wa Hii Post utakuwaje, kumbe ni tangazo La biashara
  10. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Maisha yangu baada ya chuo mwaka 2009

    Nimejifunza vingi sana hapa, asante sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

    Nicheki inbox tueleekezane
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Leseni ya Biashara inayotolewa na halimashauri sio leseni ya Udereva
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Pesa kubwa sana hiyo kama Utatulia kwenye kufanya maamuzi. kwasisi ambao tupo kwenye Uzalishaji kwa hiyo Pesa unapata magunia 20 ya mahindi kwa bei ya Sasa, kwahiyo sio pesa ndogo kabisa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kutengeneza peanut butter

    Wasiliana na ofisi za Sido zilizopo karibu yako, kama Upo Dar es salaam wanapatinana Nyerere Road karibu na Jet.
Back
Top Bottom