Recent content by Millan Lyimo

  1. M

    Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

    Binafsi sioni tatizo....hiyo ni barua ya kuwataka watendaji wa chama kufanya hamasa...na hamasa ni sehemu ya mafanikio.
  2. M

    Tupia majina ya utani ya mademu vicheche mtaani kwenu.

    Bajaji ama mchomoko kwa huku kwetu geita
  3. M

    Mke hataki nimpe mimba nyingine!

    hivi unampenda kweli mkeo au? Sbb nahs kama umemfanya kiwanda cha kutaka kuzalisha watoto bila kufikiria na yeye sbb zake. Inatakiwa wakati wa kujifungua kwake na wewe uwepo uone shuluba yake ndo utaheshim maamuzi yake
  4. M

    Kwa uchangiaji huu wa mada kutoka kwa wadada wa jf nyumba ndogo ni ngumu kuzitokomeza

    Kwani Mungu alimwagiza mwanamke tuu, soma vzr ukianza pale alipoambiwa kwanza mwanaume enyi wanaume.......Golden rule
  5. M

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    duh! Sasa tumwamini nani?.......
  6. M

    Hili la Loliondo tulifikiria au tulikurupuka!

    kwa kweli hili suala lina utata wake...hasa ukisikia kuwa kuna watu ambao wameshapata madhara....lakini tuache imani iitwe imani:lol:
Back
Top Bottom