Mkuu naomba nichangie kwa lugha yangu
Nachomekea kidogo,
Najua unazungumzia watu, ila kwa kuangalai sinema za wanyama, mfano nyati au nyumbu, ukizubaa peke yako peke yako unahatihati ya kuliwa na samba au fisi.
Kaa na wenzio uwe salama zaidi
Respect !!!