Recent content by milioni milioni

  1. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kuchukua machangudoa

    Mkuu we ni kichwa maji
  2. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma kutomuunga mkono Rais Magufuli 2020!

    Ule mda mkijipanga kwenye foleni mi naingiza hela huu aliyeanzisha Faraja Ganze moshi wake sio mzuri tukiuzima watanzania watafunguka akili
  3. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakazi wakivuka eneo la Jangwani kwa kutumia Guta kwa kulipia shilingi 1000

    Wakazi wa Dar es Salaam uhakika wa kupata maji ni kipindi cha mafuriko
  4. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

    Laana za Watanzania wanyonge itafika kipindi kuna watu wataondoka kwa aibu
  5. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Nasikiliza nyimbo ya Dizasta Vina Kanisa anayetaka nimtumie
  6. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania "Lionel Messi is a super human"(commentator wa jana wa el classico!)

    Labda itajidhihirisha akiwa huko kuna watu walifanya makubwa kila walipoenda napenda siku moja nilione hili kwa Messi
  7. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hizi kazi mpo!??

    Write your reply...Expert balaa ngoja niishie hapo
  8. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania "Lionel Messi is a super human"(commentator wa jana wa el classico!)

    Ahame timu tuone ubora wake mafanikio yake ni kwenye club moja
  9. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Wahenga Mpo?

    Watoto wa juzi hawawezi kujua
  10. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Ûnataka mpaka atukane matusi ya nguoni ndo ujue umetukanwa mambo mengine uwe unaelewa tu
  11. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira

    Hivi wafanyakazi walioenda kumsikiliza hawakuwa na kazi nyingine za kufanya mbona wanajidhalilisha hivi unaendaje kumsikiliza mtu anayekutukana
  12. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Wa Kwamtogole tujifunze Kizungu

    Mliosoma mje huku
  13. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

    Nimewapiga kila siku wananitumia msg za vitisho kumbe na wenyewe ni matapeli tu hii imekula kwao
  14. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Mfahamu popo

    Mkojo wake ukiingia machoni unaweza kuwa kipofu
  15. milioni milioni

    JamiiForums Tanzania Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

    alafu anaumwa you know
Back
Top Bottom