Recent content by MilioneaWaSasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo Kasulu mjini, kituo cha kupigia kura cha Juhudi. Nimekuja kupiga kura yangu ya siri! Watu waliojitokeza mwanzo kujiandikisha walikuwa wengi. Ila leo hata nusu ya waliojiandikisha, hawafiki!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    Huyo "jaji" anajulikana dini yake. Hawezi kumpinga muumini mwenzake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani niridhike nikifanya mapenzi?

    Acha uhuni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Ufanano wa Mwl. Nyerere na Lowasa uko wapi? Laiti kama ungefunuliwa vyema kuufahamu upande wa pili wa muungano wa Kagame na Lowasa, hakika usingehangaika namna hiyo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Ni kweli. Sikuzungumza yote niliyoambiwa. Bila shaka, mimi sio wa kwanza, kumuhusisha ndg Lowasa na utawala wa ndg Kagame. Fuatilia, utajua nachomaanisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Yalikuwa ni mazumgumzo kati ya mimi mtanzania na yeye Mnyarwanda! Uchochezi uko wapi hapo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Fuatilia taratibu. Utagundua ukweli tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Majuzi nilikuwa nchini Rwanda kumtembelea rafiki yangu. Huyu ni Mnyarwanda wa kuzaliwa. Niliingia mjini Kigali majirani ya saa kumi na mbili jioni kwa basi la Taqwa. Rafiki yangu huyo ambaye hakunipa idhini ya kumuandika leo, nilimkuta amenisubiri. Akanipokea na kunipeleka nyumbani kwake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania sekretari natafuta kazi 0755568949

    Nipe # yako nyingine. Nataka niwe nakupigia hadi usiku wa manane!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

    Naichukia Rwanda, namchukia Kagame kuliko kawaida. Haiwezekani atuchagulie Rais
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    CUF ipo hata jimbo la Kasulu mjini. Mbunge Esther Kasyome ameshashinda.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Esther Kasyome (CUF)=Kasulu mjini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Kasulu ni ya CUF Esther Kasyome anatosha.
Back
Top Bottom