Recent content by MIKETHON1991

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

    Sisitiza wanao wazae sana nje ili wakuletee wajukuu ulee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Wenye akili tu ndio wanaoweza kujadili mada hii kwa hoja za msingi wengine wote wataleta matusi tu apa
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata CHADEMA wasiposhirikiana na ACT-Wazalendo, bado CCM itapigwa chini. Membe na Lissu “watakula vichwa vingi” vya wanachama wa CCM

    Wakati mwingine jf huwa siwaelewi. Wanaongea humu wana elimu gani. Maana mtu kusema CCM itapigwa mwaka huu napata mashaka juu ya uelewa. A simple logic, chadema ina wabunge wangapi hadi kabla ya kuvunjwa kwa bunge la awamu ya tano? Act nayo hali ikoje. Ninachokitarajia ni kwamba mwaka huu vyama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Ivi wana jf mna matatizo gani?mnataka kumdanganya nn mtanzania? Jpm ndio kila kitu kwa mtanzania na wengine ndio kwanza tunajua lisu bado yupo ughaibuni akitutangazia mabaya na kutoitakia mema nchi yetu. Viva jpm
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    ADA HAILIPWI KWA MWAKA BALI INALIPWA KWA MWAKA WA MASOMO YAAN ACADEMIC YEAR
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu EX wangu?

    kama vipi mloge tumbo lijae limsumbue miezi tisa ikiisha atakua ametuliza mawimbi
  7. M

    JamiiForums Tanzania WHO yasema idadi ya maambukizi ya Corona hayatakuwa makubwa Afrika kama ilivyokadiriwa

    Tanzania nadhani ina sifa tofauti sana, nimesoma mwanzo hadi mwisho nilijua inataja Africa kwa ujumla lakini mwishoni imeitajwa Tanzania moja kwa moja.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

    mwanzisha mada umechemka. paragraphy ya mwisho imechangnya mambo kufanya mada nzima isieleweke umeshindwa kutofautisha Quarantine na Lockdown umeshin dwa kujua CDM walichagua na kutekeleza kipi ni mbaya sana kama mwanzisha uzi mwenyewe haelewi alichokiandika kwa usahihi kina maana gani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

    CDM wavunja sheria makini sana wakitegemea huruma ya wananchi pale wanapochukuliwa hatua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani anajua kwa hakika kwanini Rais anachukua muda mwingi sana huko aliko?

    alafu hajahudhuria kikao cha EAC
  11. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

    umesahau ile clip iliovuja ikilenga kumchafua Askofu Gwajimaa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

    Unafahamu wanachama wa EAC. Kuwa mwanachama manake kama kuna kikao kimefanyika maazimio yote nawe yanakuhusu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

    unaishi TZ kwel? maana wapotoshaji humu JF wengi hawapo hapa TZ
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

    kwanza kupita kwake hakuhitaji kura za wana JF kama wewe uchumi kushuka ni suala lililokumba hata mataifa makubwa waliowengi watamchagua na lazma apite kwa kishindo. hapa JF wengi hata sifa za kupiga kura hawana wanabwabwaja tu
Back
Top Bottom