ndla Jr.;13772374]Wanabodi,
Binafsi nimeshangazwa sana na tabia inayofanywa na Wabunge wa chadema. Na kiukweli SIJAPENDA!!!!
Inakuwaje Mbunge anatoa Ambulance au gari la kubebea taka katika Jimbo lake na kisha kuandika...
'Msaada kutoka kwa Kaka yenu A.Mbowe" au "Gari hili ni msaada kutoka...
pero;13721202]Huyu anajifanya ndio msemaji wa wananchi nani kampa cheo hicho, yeye ni kama mtu yeyote kwanza naona kama hajui kitu ni ujingiujinga tu
Pole pole anasumbuliwa na mimba change msameheni bure
osoo;13693560]Kwa hatua iliyofikia inaonesha wazi viongozi wa CCM wanawahadaa wanachama, Ndugu yangu Nape juzi alisema Lowassa hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi (10) Lakini ni Lowassa huyu huyu aliyekuwa waziri mkuu chini ya utawala wa CCM,Sasa balozi wa nyumba kumi na waziri mkuu nani...
ambali;13667913]Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"...
From the source that I believe Zitto anaonekana Double Tree hotel akiwa na Nape ,Membe na Mangula muda huu.It was my personal conversation na jamaa yangu ila udaku wangu umenifanya nishee na ninyi ndugu zangu!!☝☝☝
Sent as received....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.