Recent content by Mike brighton

  1. M

    Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

    Mkuu habari ya asubuhi Hii idea ya mifuko ya kuuza migodini nimeipokea kwa mikono yote,mara nyingi biashara kama hizi huwa zinadharauliwa ,ila zinawatoa watu Sasa ninaomba msaada jinsi ya kuipata,kwa sababu nahitaji kuthubutu hii kitu Connection ya kupata hii mifuko please
  2. M

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Kwa kwl huu ni udumi wa mawazo na fikra, sasa siasa, dini na usafiri wa abiria vina uhusiano gani, au vitasababusha nini ndani ya basi, Nadhani mngeshughurikia kuzuia ajali na kuhakikisha usalama wa jamii ningeona mpo sawa, ' ni mtazamo wangu
  3. M

    Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

    Exactly brother, Mungu analipa hapa hapa
  4. M

    Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

    Kwa hiyo unafurahia mwanzako kutombewa!, just be serious
  5. M

    Naomba ushauri: Mke wa mtu ananitaka kwa nguvu

    Achana na hizo habari, mke wa mtu hafai, harafu atakusababishia upunguze umri wa kuishi dunian
  6. M

    Wivu umeniponza

    Acha nae huyo, ni mbwa koko,, jipange upya kwa maisha mengine, huyo anaonesha hana mpango na ww, alipenda pochi kuliko mpenzi, hahahah
  7. M

    Kati ya Diamond na Ali Kiba nani kamchangia Lissu!

    Huu unao ongea ni upumbavu, binadamu gani ambaye hana huruma kwa binadamu mwenzie, hivi ungekuwa ww au babako kafanyiwa hivyo ungeongea rubbish hivyo? Huna akili hata kidogo, hebu acha ushabiki wa vyama ingiza utu!!!
Back
Top Bottom