Recent content by MIkawangu

  1. M

    Nguo za mtumba za watoto

    Tunauza nguo za mtumba za watoto, Rejareja na jumla kupoint, jumla za Winger na ballos. Karibu tukushauri pia kuhusu biashara hii. 0712029027
  2. M

    UNGA BORA KWA LISHE KWA UJI NA UGALI

    Nauza unga walishe unafaa kwa uji na ugali kila kifurushi kina vifurushi 3 ndani haijachanganywa na karanga ila karanga imefungwa pekee yake, ni unga mzuri na mtamu sana , nauza jumla na reja reja. Reja reja ni 4000 per kg. Tuwasiliane kwa namba 0621127961 na 0712029027
  3. M

    Kupimiwa shamba au kiwanja mpaka kupata hati

    okey hii ishu ipo hivi, kama una ardhi haijapimwa kwanza tutatakiwa tuiangalie kwa kuchukua coordinate za eneo husika na kuzipeleka ARDHI, hapo watatuangalizia eneo letu kama lina mchoro au halina mchoro. kama Eneo lina mchoro tutaangalia eneo hilo ni la matumizi gani? kama ni matumizi sahihi...
  4. M

    Kupimiwa shamba au kiwanja mpaka kupata hati

    Habari wana jamii mwenye kiwanja ambacho hakijapimwa, na anataka kupimiwa mpaka kupata hati, hana muda wa kufanya process za kufatilia wizarani na manispaa wasiliana nasi tunafanya huduma hizo kwa haraka na bei ya kawaida Wasiliana nasi kwa namba 0712029027
  5. M

    Nauza mafuta ya alizeti bidhaa halisi ya kitanzania

    Nauza mafuta halisi ya alizet yasio changanya na chochote yanapatikana kwa bei nafuu sana lita 5 kwa tsh16,500/= mafuta haya ni halisi kutoka singida, kwa hapa dar napatikana mwenge na mbezi beach makonde pia waweza nipata kwa namba hizi 0712029027, karibu......
  6. M

    Mafuta halisi ya alizeti kwa bei ya jumla na rejareja.

    Ndio karibu na main road karibu my namba ni 0712029027
  7. M

    Mafuta halisi ya alizeti kwa bei ya jumla na rejareja.

    15,500 mkuu kwanzia madumu 10, karibu
  8. M

    Mafuta halisi ya alizeti kwa bei ya jumla na rejareja.

    Nauza mafuta halisi ya alizeti yasiochakachuliwa ujazo ni lita 5 bei ni tsh 16500 kwa lejaleja napatikana mwenge Itv na mbezi beach makonde, karibuni sana
  9. M

    Nauza Mafuta ya alizeti jumla na reja reja

    Nauza mafuta ya alizeti safi kutoka Dodoma ujazo ni lita 5, hayajachanganywa ni kitu chochote bei ni sh 16,500 napatikana Mwenge na Makonde Mbezi Beach kwa maelezo zaidi nipigie simu kwa namba hii 0712029027
  10. M

    Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

    Alitupwa kabla ya uumbaji
  11. M

    Naomba kujua kuhusu kaymu.com!!

    Kaymu wanadeal na maduka tofauti tofauti yanayouza bidhaa hata kama wewe una duka lako unawezaweka bidhaa yako pale, mzigo unaletewa mpaka ulipo unaweza lip b4 au after, kwa sababu wanadeal na supplier tofauti transport cost mpaka ulipo inatofautiana na sometimes unaweza ukaamua kuifata bidhaa...
  12. M

    Kwa ajira hii nifanyaje?

    Nimeajiliwa toka mwaka 2012, mimi ni mbunifu majengo by profession, kazi ninayofanya ni ya profession yangu kwa asilimia ndogo lakini inahusika sana na mambo ya marketing. Toka nimeanza kazi kila ninachofanya hakifanikiwi, tulikuwa na website lakini hamna tulichopata, kwa sasa tunadeal na...
  13. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo yanaweza kudhoofisha mwili
  14. M

    Boat za uvuvi na utalii

    Tunaaina nyingi za boat waweza ona kwenye website yetu Good for Africa Ltd - Suppliers of quality fibreglass (GRP) boats and diesel engines for all marine applications. apa ntaweka moja tu na picha yake Basic Semi-Displacement Hull 9.4m long x 2.0m wide Weight approx. 450kg Total Carrying...
  15. M

    Boat za uvuvi na utalii

    Kwa wavuvu na wale wanaofanya biashala ya samaki tunauza boat za kisasa za uvuvi na utalii, workshop yenu ipo msasani kwa mwalimu Nyerere, ila tunategemea kufungua workshop nyingine mwanza na kigoma, bei ni nafuu sana na boat ni za kisasa, karibuni kwa maelezo zaidi piga 0712029027
Back
Top Bottom