Recent content by Mikam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbweni, Dar: Mkutano wa CHADEMA wavamiwa, watu kadhaa waumizwa, Polisi walikuwepo

    HAO WAMEJIVAMIA WENYEWE. CCM YA SASA HAWANA HAJA YA KUTUMIA NGUVU KIASI HICHO! KASI YA MHESHIMIWA MAGUFULI INATOSHA KUWANYOOSHA, VIVA JPM.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako ndio mungu wako wa dunia

    Na wale wazazi wanaoroga watoto wao wasifanikiwe inakuwaje!? Tena akina Mama baadhi!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Rais anafanya kazi ya ziada, anaruka viunzi kabisa

    Kama kweli vile...nahisi kuna kaukweli hapo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wamehack account yangu ya facebook

    Uninstall & Reinstall
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wamehack account yangu ya facebook

    Nashukuru wadau kwa ushiriki wenu. Nimefanikisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi wamehack account yangu ya facebook

    Wajuzi wa mambo nisaidieni hili, Nimeingia facebook sioni maandishi naona picha tuu hata nikijaribu kuandika chochote vinatokea vibox sivielewi! Ni nini hiki?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni muhimu

    Kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni muhimu

    Hilo eneo watu wana maumivu sana, fanya mazoezi kwa afya yako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni muhimu

    Na mengineyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni muhimu

    Hakika ukitaka Kufaidi penzi na mwenza wako usiwe mzito fanya mazoezi mwili uwe mwepesi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano bila mawasiliano ni tatizo

    Mawasiliano hujali mahusiano.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano bila mawasiliano ni tatizo

    Haiui nyoka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano bila mawasiliano ni tatizo

    But other say if there is true love distance does not matter
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano bila mawasiliano ni tatizo

    Hahahaaaa Apologise lady
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano bila mawasiliano ni tatizo

    Habari za asubuhi wana JF, Mtu unakuta ana mpenzi wake anaishi mbali naye either sababu za kikazi or kimasomo but hajali kuwasiliana naye mara kwa mara... Hili ni tatizo!
Back
Top Bottom