Recent content by mika94

  1. mika94

    Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

    Mimi naona shida ni wizara ya ardhi na halmashauri za miji zinashindwa kusimamia ugawaji wa maeneo vizuri, pia wanashindwa kutengeneza sheria ndogo ndogo za mazingira. Matokeo watu wanajiuzia maeneo kiholela bila kufuata utaratibu sehemu ya nyumba mbili zinakaa nyumba 7 hakuna hata eneo la...
  2. mika94

    IMF kuipa Tanzania ufadhili wa takriban Tshs Trilioni 1.18

    Ifikie mahali serikali itutengenezee barabara ya Mbeya-Tabora au Mbeya-Itigi, maana wanakopa mahela kila kukicha yanakoenda hayajulikani
  3. mika94

    Mambo 7 kuhusu TRC na mradi wa SGR uliogharimu trilioni 29.5

    Trion 29 ni hela nyingi sana, zinatosha kujenga barabara za km 14000 na zaidi, ningekuwa mimi mwenye maamuzi ningechagua barabara kuliko reli
  4. mika94

    Tanzania yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya SGR (Kigoma - Burundi) kwa Tsh. Trilioni 5.6

    Hizi pesa zote za reli kama zingejenga barabara kungekuwa hamna sehemu ambayo hamna lami, na barabara zingine zingekuwa barabara nne, kwa maoni yangu serikali imejichanganya sana, hasa kupeleka reli burundi wakati burundi pesa hakuna, na hakuna cha kubeba huko, hata ikifika congo, congo ni nchi...
  5. mika94

    DOKEZO Wizara ya elimu imeachia shule za binafsi msingi zifanye zitakavyo? Watoto wanasoma masaa 12 na hata zaidi

    Leo nlikuwa nimeka nikaona mtoto wa jirani ametoka shule saa 12 jioni nikawa najiwazia watoto wanashinda shule muda wote, hawajifunzi mambo mengine ni shule mwanzo mwisho, shule sio mambo yote mtoto akifika form 2 inabidi angalau awe anajua kaz zingine na kuweza kuzifanya kwa ufasaha hizo...
  6. mika94

    David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

    Serikali inasuasua mno kwenye ujenzi wa mabarabara mwaka 2023 serikali iliahidi kujenga barabara 7 zenye jumla ya km 2035 lakin hadi leo utekelezaji haujaanza na mikataba ilisainiwa , barabara zinazojengwa nazo zinajengwa kwa viwango hafifu zinaharibika haraka sana, tanroads imekuwa dhaifu...
  7. mika94

    Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

    Mbuzi ukiwafungulia tu, ukimaliza kufunga zizi wanakuwa wapo km 1 mbele unaanza mbio 😀
  8. mika94

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Simu original ambazo hazijatumika Bongo hii za uhakika sanasana ni tecno na infinix hizo nyingine nyingi ni refurb ndio maana zinaleta mashida kibao
  9. mika94

    Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma

    Chukua Saratoga Line inatoka saa 9 usiku nauli 80k Ni zhongtong bus yenye siti kali za leather ni 2x2 , Au chukua Adventure connection bus inatoka saa 2 usiku ni 2 by 2 ina siti kali seat za leather, washroom na azam tv pia nauli 100k, huduma km vinywaji zinapatikana kwenye bus zote, WiFi sina...
  10. mika94

    Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Kwa nionanvyo mimi panda bas hadi Dodoma, unaweza ondoka na mabasi ya usiku saa 3 au saa 4,,, saa 12 asbh utakua Dodoma hapo pana basi linaitwa Turu best/Tunda linaenda moja kwa moja mpaka Meatu ,japo sio luxury ila ndio linaloenda huko, alternative unaweza kupanda basi la usiku mpaka Shinyanga...
  11. mika94

    Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

    Ee pale pa Mashahidi wa Yehova napapata , karasha lao lilikua kama kinu na magurudumu mawili hivi baadae wakasepa.
  12. mika94

    Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

    2007 ni kitambo sana, kipindi cha hapa kati, njia za kisasa za ku extract gold zilikuja, yale mabaki yaliyokuwa yanaachwa kipindi cha nyuma yalitajirisha sana watu, walikuwa wanayaacha wakidhan hayana dhahabu kumbe yana dhahabu za kutosha, kwa sasa hivi ni tofauti ila waliwekeza wanaotumia njia...
  13. mika94

    Wapi ntapata Technical secondary schools?

    kimuki walindaji wa shamba la shile cku hz ni mitiki ilipandwa mule
  14. mika94

    TCU fifth round opened

    mwaka wa majanga huu kufaulu co tket ya kwenda chuo unasugua bench vzur tu
Back
Top Bottom