Recent content by mika micah

  1. mika micah

    "Yule" Wa Tanzania 🇹🇿

    In every country, there’s that one name you don’t have to say. In Tanzania... You just say: And kama uchawi vile— 🧠 everyone knows who you mean. No name. No description. No GPS. --- It’s as if she cast a national spell. Try it: 💬 Say “You-know-who” in a sentence… ↪️ The room falls silent. ↪️...
  2. mika micah

    Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

    Unampongezaje mtu anapofanya kazi ambayo unamlipa afanye?.... .
  3. mika micah

    NMB dhibitini huu uhuni unao endelea kwenye benki yenu

    Hawatakuambia unachotaka kusikia Nyau wale
  4. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Kilaki changu kinaniuma mweeeh hahahaa
  5. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Vyote ninavyo Kaka. Kesho naenda navyo
  6. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Noted boss... ngoja niamke nao asubuhi
  7. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Nilipokea message ya 50k, sikupokea ya 100k nyingine
  8. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Dooh kumbe michezo ipo..basi wamenila aseeeh..
  9. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Naomb msaada email yao boss
  10. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Nawatahadharisha tuu msije kulia kama mimi
  11. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Nilipata Pepsi baridi boss
  12. mika micah

    NMB BANK sio muda mtaitwa wezi

    Kama wapo nisaidieni kuwatag. Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k. Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika kabisa. Kuna haja ya kuwapa training wahudumu wenu on how to troubleshoot issue na kudili na...
  13. mika micah

    Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Saa kumi na mbili asubuhi si unakutana na Harufu ya kuua nzi kaka...
  14. mika micah

    Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kwa hio Mungu wa Madhabau hii ndio inafanya wawe waongo... Vipi Kuhusu Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo kwenye Bible au Mungu wa Israel??
Back
Top Bottom