Habari wadau,
Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa,
Mie natengeneza mifumo ya computer .Nimefanya kazi ya kutengeneza mifumo kwa karibu miaka 20 sasa.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
Mifano michache:
Asset Management
Point of Sale
Contract and Case Management
HR management system
Garage...
pole kwa yanayokusibu.Ila pengine anza kwa kushukuru kwanza,mpaka unaposti hapa ni bila shaka una smart phone,na pengine hujakosa walau kula chakula cha mchana,elewa maana ya kushukuru na uache kujiona huna bahati.Jifunze kila siku kushukuru hata kwa huo uhai tu ,sio wote wanao,wako vilema,wako...
Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia...
Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia...
One time purchase Boss kama itakua on premise.
Lakini ukitaka tukuwekee online kuna gharama kdg zitaongezeka kwa ajili ya kuregister domain na kulipia domain yearly.Ni kama laki 2 kwa mwaka .So kwa ambayo itakua kwa cloud utalipa hiyo one time purchase 700,000 + 200,000(recurring yearly)
Ujue kama nilivyosema hii system ni maalumu kama unataka kuaccess hata ukiwa nyumbani ,uone mwendendo wa mauzo yako kwa kupitia internet .hapo utakua na kama website yako ndio maana kuna hiyo gharama.lakini pia tuna mfumo huo huo ambao Unaweza kuwekwa kwenye computer bila internet,gharama.yake...
Ok ,unaweza kucontrol wizi namna hii.
Kwa ligha nyepesi kabisa angalia mfano huu.
Umenunua bidhaa 20.
Umeuza 5
Umebakiwa na 15 kwenye stock.
Muda wowote ukihesabu Mali zako unategemea ziwe 15 na si vinginevyo.lazima hiyo 15 uione kwenye system na ukizihesabu.akiiba ina maana kwenye system...
Sasa hapa nimejaribu kufupisha,nimeweka function za system kwa ufupi in summary,ili atakayeona inamfaa tunafanya demo,nakuja na laptop nakuonyesha unavyofanya kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.