Mmmh, hivi vita gani inapigwana bila kuandaliwa. We unataka Team El ikae tuu iwatazame nyinyi mnaojifanya wasafi mwendeleze harakati zao chafu za kuwachafua wengine ili walitewe Urais kwenye sahani,,,...mtasubiri sana. EL kaza buti safari ya matumaini imekaribia mwisho...Viva EL