Lowassa angalikuwa jasiri asingalionewa kiasi hicho ndani ya CCM

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Kama kweli waziri mkuu wa zamani wa Tanzania angalikuwa jasiri asingalionewa na kudhalilishwa na wanasiasa wadogo ndani ya chama chake. Udhaifu wa Lowasa umejikita katika imani yake kuwa nje ya CCM hatoweza kufanya siasa. CCM kwa kujua utegemezi wa Lowasa kwa CCM wamekuwa wakijinadi hadharani kwamba hawezi kuondoka mtu CCM akaleta madhara.

Ni wakati wa Lowasa kuwaeleza wana CCM kuwa anao uwezo wa kufanya siasa katika vyama vya upinzani na kufikia malengo yake.
 
ungejua mwezako mda wa kufanya siasa hana tena wala usingesema hayo unayosema anamda si mwingi kama unavyodhani wa kufanya harakati baada ya hapo umri na afya hazitamruhusu kamwe.
 
Kama kweli waziri mkuu wa zamani wa Tanzania angalikuwa jasiri asingalionewa na kudhalilishwa na wanasiasa wadogo ndni ya chama chake. Udhaifu wa Lowasa umejikita katika imani yake kuwa nje ya CCM hatoweza kufanya siasa. CCM kwa kujua utegemezi wa Lowasa kwa CCM wamekuwa wakijinadi hadharani kwamba hawezi kuondoka mtu CCM akaleta madhara.

Ni wakati wa Lowasa kuwaeleza wana CCM kuwa anao uwezo wa kufanya siasa katika vyama vya upinzani na kufikia malengo yake.

sijaona Lowasa alizalilishwa hata siku moja ila yapo baadhi ya mambo anasemwa na kuonywa ni kweli kafanya wala haonewi.
 
Kama kweli waziri mkuu wa zamani wa Tanzania angalikuwa jasiri asingalionewa na kudhalilishwa na wanasiasa wadogo ndni ya chama chake. Udhaifu wa Lowasa umejikita katika imani yake kuwa nje ya CCM hatoweza kufanya siasa. CCM kwa kujua utegemezi wa Lowasa kwa CCM wamekuwa wakijinadi hadharani kwamba hawezi kuondoka mtu CCM akaleta madhara.

Ni wakati wa Lowasa kuwaeleza wana CCM kuwa anao uwezo wa kufanya siasa katika vyama vya upinzani na kufikia malengo yake.

Mnajisumbua sana ndugu zangu,LOWASSA anakubalika kama lowasa na sio kwasababu yuko ndani ya chama,kwa taarifa yako lowasa akisimama hata kwa mgombea binafsi anaichukua hii nchi kwa goli la kisigino,sina haja ya kubishana na wewe but huo ndo ukweli,kaka kura ziko mikoani na vijijini,na zaid kanda ya ziwa,so kote huko jamaa anakubalika mbaya,zungukeni jamani mfanye utafiti muache ushabiki wa kina MAKONDA,jaribuni kupata real issues kutoka kwa wavuja jasho,lakini mki kaa kwenye internet muda wote na kupoteza muda kwa fasihi hatmafika popote
 
Acheni wizi kwanza maana hapa wote wezi mngepewa nyie nafasi pakuandika hii pasingetosha tumshukuru Mungu katujalia nchi hii yenye mambumbumbu kibao tukikosa aliepata twamita mwizi kweli hii kali
 
Hahahaaa...Edo anawabana mbavu akina Makonda mpaka inapendeza...napita tu
 
Edward Lowassa ngoma nzito.Huyo ni miongoni mwa wale waliotayarishwa tokea enzi hizo.Piga uwa chama tawala itampendekeza huko akapambane na wengine.Usisahau mahakama ya kadhi italeta mambo.Masheikh wanaitaka na watumishi wa mungu wanaipinga...kazi ipo.
 
Mnajisumbua sana ndugu zangu,LOWASSA anakubalika kama lowasa na sio kwasababu yuko ndani ya chama,kwa taarifa yako lowasa akisimama hata kwa mgombea binafsi anaichukua hii nchi kwa goli la kisigino,sina haja ya kubishana na wewe but huo ndo ukweli,kaka kura ziko mikoani na vijijini,na zaid kanda ya ziwa,so kote huko jamaa anakubalika mbaya,zungukeni jamani mfanye utafiti muache ushabiki wa kina MAKONDA,jaribuni kupata real issues kutoka kwa wavuja jasho,lakini mki kaa kwenye internet muda wote na kupoteza muda kwa fasihi hatmafika popote

Kukubalika siyo tatizo hata shetani anao watu lukuki wanaomkubali zaidi ya Mungu,tatizo liko kwenye weledi.
 
Ngoja apate uprezidaaa ndio watamjua Yule alishakuwa morani au lah.Hawa wakina makonda njaa tuu ndio zinawasumbua hawana jipya kbs.
 
Kama kweli waziri mkuu wa zamani wa Tanzania angalikuwa jasiri asingalionewa na kudhalilishwa na wanasiasa wadogo ndani ya chama chake. Udhaifu wa Lowasa umejikita katika imani yake kuwa nje ya CCM hatoweza kufanya siasa. CCM kwa kujua utegemezi wa Lowasa kwa CCM wamekuwa wakijinadi hadharani kwamba hawezi kuondoka mtu CCM akaleta madhara.

Ni wakati wa Lowasa kuwaeleza wana CCM kuwa anao uwezo wa kufanya siasa katika vyama vya upinzani na kufikia malengo yake.

Hii ni thread ya 11 ya Lowassa kwa leo tu..... Kweli Lowassa anatesa watu...
 
Huwezi jenga nyumba ndani ya siku moja, lakini unaweza kuibomoa nyumba hata kama ni ghorofa ndani ya siku moja. Mleta mada, kama unaakili umenielewa.
 
binafsi nakuona wewe ndo uliyekaa kwenye internet ukipiga porojo za kumtetea lowasa. lakini ukweli ni kwamba lowasa sio muadilifu. refer Mwl. Nyerere.

Mnajisumbua sana ndugu zangu,LOWASSA anakubalika kama lowasa na sio kwasababu yuko ndani ya chama,kwa taarifa yako lowasa akisimama hata kwa mgombea binafsi anaichukua hii nchi kwa goli la kisigino,sina haja ya kubishana na wewe but huo ndo ukweli,kaka kura ziko mikoani na vijijini,na zaid kanda ya ziwa,so kote huko jamaa anakubalika mbaya,zungukeni jamani mfanye utafiti muache ushabiki wa kina MAKONDA,jaribuni kupata real issues kutoka kwa wavuja jasho,lakini mki kaa kwenye internet muda wote na kupoteza muda kwa fasihi hatmafika popote
 
we subiri siku akitamka anautaka urais kupitia CCM ndiyo utakapojua timbwili lake kwamba yeye ni nani ndani ya CCM.
 
Hamjui ni kiasi gani mnazidi kujenga umaarufu wa huyu mtu kwa hizi porojo zenu :blah:
 
sisi kina gogo la shamba tulimshauri Lowasa kuachana na ccm tangu 2014 kwa sasa amechelewa sana maana ccm hawatampitisha kugombea urais
 
Gogo la shamba ni kweli Lowassa yupo kusubiri maumivu mengine makubwa kuliko yote aliyowahi kukutana nayo, asifikirie kuteuliwa ndani ya CCM ataachwa na hatapozwa kwa namna yeyote maumivu haya yatadhuru afya yake ni bora aamue mbwai na iwe mbwai. Ningalikuwa mimi ningalitoka CCM na nigalihakikisha nahama na jimbo langu na majimbo mengine , ningemsapoti mgombea wa upinzani na kuleta mabadiliko. Anachosikitisha Lowassa ni hiyo kuamini kwenye CCM tu
 
Kimya kingi kina mshindo. Lowassa ndiye atakaye saidia CCM kuparaganyika kabisa miezi michache ijayo.
 
Huwezi jenga nyumba ndani ya siku moja, lakini unaweza kuibomoa nyumba hata kama ni ghorofa ndani ya siku moja. Mleta mada, kama unaakili umenielewa.

Kubomoa nako ni kuwa na nguvu huwezi kutisha kama huna nguvu za kubomoa . Sometimes you have to show your power to destroy
 
Makonda hana historia ya ukweli kuhusu Kinana,Lowassa,HE Kikwete na marehemu Aljabri.kumtaja Kinana kwenye video yake Makonda amekosea saana vizuri angefanya utafiti kabla ya kuongea.Sasa hivi Makonda atakabiliwa na tuhuma ya kikidhalilisha chama na hatima yake ni kuvuliwa u DC.Kapewa kamba akajinyonga mwenyewe.
 
Back
Top Bottom