Recent content by migisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kuanzia Jumatatu na kuhitimisha ofisini kwa mkuu wa Wilaya ya Rombo!

    Mngoa meno mmoja hivi huyu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania LISSU: Zitto alijitetea kwa hoja dhaiiifu!

    Wewe ni mtu ----- kuliko mabwege wote!!!!!!! Bro jitahidi kuficha uchi wa akili yako. Usijitoe fahamu kihivyo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Kwa kusoma taarifa ya kamati au?
  4. M

    JamiiForums Tanzania MPANDA: Baada ya mkutano mkubwa wa CHADEMA, Polisi yawapiga mabomu kuwatawanya

    Burton we ni condom tu, endelea na ACT yenu mbona wewe na ndugu zake arfi na mallack hamtuachii cdm yetu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

    Bora wametutolea mkuu wa mkoa cha majungu na mpenda papuchi Rutengwe. Jamaa ni ngoswe huyo na hamna kitu ksbisa kichwani. RC mzima anaendekeza majungu hata kwa watoto Kisa papuchi!!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunapaza sauti zetu: Mahindi Tsh 12,000- 15,000 kwa gunia

    Ni kweli NFRA wananunua mahindi ila si kwa 600/kg hapo umedanganya. Pia ni kweli mdau yupo sahihi, mahindi tunauza gunia 1 shilingi 12000 mpaka 15000. NFRA hawana uwezo wa kununua mahindi ya wakulima wote. Kwa kuanzia wananunua tani laki2 2 tanzania nzima ambazo ni sawa na zimezalishwa kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Enock Mayuta na ufisadi wa kutisha halmashauri ya wilaya ya Mkuranga

    Huyu ni mmoja wa kada mashuhuri wa CCM na ni mmoja wa viongozi wa UVCCM wilayani Mkuranga. Huyu kijana amekuwa akifanya ufisadi kwenye pembejeo na ukandarasi na amekuwa akitumia mwanya na kuwatisha watendaji wa serikali hapa halmashauri kwa kulingia cheo chake na kusema kuwa ametumwa na chama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya OLAM Tanzania Ltd

    wababaishaji tu hao ila nenda kajaribu bahati na kupata uzoefu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majangili Wakichina Ndani Ya Serengeti

    Toa upuuzi wako hapa kwani ni uongo? Mnakera sana nyie watu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

    Wewe usiwe m.p.u.u.z.i jana tulikuwa kwenye press wote usiwe unapinga kila kitu pia kwann mtendaji akiwa strong anaitwa cdm? Kwani mama anakatazwa kuwa cdm? Sheria za utumishi zinasemaje? Serukamba you.
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC Arusha Magesa azidi kuteswa na MSULI wa SPORA LIANA

    jana aliita press bwana waandishi wa habari tulikuwepo wa vyombo vyote dada marry ntente alitupigia simu wote
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini mahaba linavyonitesa

    Ok nitajitahidi kaka
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini mahaba linavyonitesa

    Ni kweli mzee mzizi mkavu hadi kwa umri huu sijaoa japo nimeshajijenga kidogo pia sina hata niliyepanga nae future. Nilikuwa ni mtu wa mikosi, hasira, kunyanyasa, kuchukiwa, mgomvi, malaya niliyepitiliza. Kwa hali niliyonayo sihitaji mwenza japo nahitaji kuwa na mtoto. Nimekuwa nikilia pindi...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini mahaba linavyonitesa

    Hapana sijashirikisha wazee wa kimila wala wazazi wangu. Naamini siku 1 yataisha na kuanza maisha mapya.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini mahaba linavyonitesa

    Amen nashukuru kwa maneno yako ya faraja.
Back
Top Bottom