- Thread starter
- #41
Haya ndio mawazo ya busara na si kujiua. Pamoja na maombezi, usiache kwenda clinic pia watakushauri hasa hapo kwenye red siku hizi inawezekana. Pole sana kijana.
Aksante ndugu yangu nitajitahidi na kufuata ushauri wako
Haya ndio mawazo ya busara na si kujiua. Pamoja na maombezi, usiache kwenda clinic pia watakushauri hasa hapo kwenye red siku hizi inawezekana. Pole sana kijana.
Wewe acha kumpotosha mwezio kwa waarabu ataambulia mapepo na majini mengi zaidi. Migisha usiende popote uponyaji wako uko kwa Yesu tu
Nikupe pole sana mdogo wangu. Nikuulize maswali mawili naomba unisaidie kuyajibu kabla sijakupa ushauri. Je, wewe umeokoka yaani umempkea Yesu na kumfanya Bwana wako? au unapenda tu akuponye halafu uendelee na maisha yako ya kidunia? Asante nasubiri jibu
usikate tamaa ndugu tafuta kwenye maduka ya dawa za kiarabu kama altiti,karafuu maiti,kibiriti upelena shubiri nyeusi jipake kwa siku saba kama utashindwa tafuta asali ujipake kila unapo lala itakusaidia kwani hata weza kuingia mwilini mwako.punguza hofu maaa ukiwa na hofu unapoteza utukufu wako kama mwanadamu na kumpa nafasi kukutawala maana dua husaidia lakini unatakiwa kujua tofauti yako na akuombeae ni nia na una hofu gani kwa mungu gud lucky bro usikate tamaa
Maagano kati ya shetani ww yalivunjwa but hukuwa serious kabisa.Ninacho kushauri/jitahidi uwe karibu
1;Maombi(kufunga na kuomba)
2;kanisa
3;watumishi wa mungu
Ukizingatia hayo haitakuwa na haja hata ya kwenda nje nchi,imani yako ndo itakuponya, ukifuaata haya basi ww utakuja kuwa shuhuda kwa wenye matatzo kama hayo.Grory to god.
Naamini bwana atasikia kilio chako
Ooh pole sana ndugu usikate tamaa, endelea kupigana shetani hana nafac jina la yesu linapotamkwa, nenda kanisani shikilia imani yako muombe mungu kila siku asbuh mchana na jioni, yote yatakwisha siku moja uwe karibu na watu walioko kiroho sana,halafu yesu anaponya magonjwa yote mshikilie tu huo ugonjwa sio kitu mbele yake, kwa msaada zaidi nipm ndugu yangu, mungu akubariki sana
nenda maduka ya kiarabu waambie wakupe altiti,kibiriti upele,karafuu maiti,na shubiri nyeusi kisha jipake kwa siku saba au tafuta asali kisha ujipake kila usiku na kumbuka usijipe hofu kuwa havita fanya kazi kwan ndo mbinu yke kukutia hofu na usiache kujiombea kwa mungu maana hakuna awezae kukusafisha ila yeye utapona naamini
Pole sana kwa masaibu hayo je ulisha washirikisha wazee wa kimila juu ya matatizo yako vipi wazazi wanasemaje? majaribu ni ni sehemu ya maisha hata Mungu anasema ukiona umepta jaribu ujue ni saizi yako ndiyo maana limekupata so endelea kwa sala tafuta njia ikupasayo epuka makanisa ya kitapeli kwani mara nyingi hayo ndiyo yatakuongezea matatizo zaidi.
Hapana sijashirikisha wazee wa kimila wala wazazi wangu. Naamini siku 1 yataisha na kuanza maisha mapya.
Ndugu fanya hivyo hao ni watu muhimu sana wanauzoefu wanaweza kutoa ushauri unaofaa.
Ok nitajitahidi kaka