Recent content by migeda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Mwalimu wa computer

    Weka namba ya simu tafadhali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya jumla

    Habari ndugu zangu nauza mayai ya kisasa shilingi 8800/= kwa tray. Kwa atakayehitaji anicheck WhatsApp/SMS kwa namba 0757969866.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

    Kama huna cha kuanzisha tulia tu uchangie!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote anayewapa watu vyeo kwa kulipa fadhila anafaa?

    hiki kinachofanyika kwa sasa kitazamwe upya, kiukwel si haina nzuri ya kupata viongozi, wasiojua kujipendekeza kwa wakubwa itakua vigumu sana wao kupata nafasi mbalimbali, au wasiokua jiran kwenye kipndi mbalimbal vya tv kama walivyo hao akina polepole, nadhan na yule anayepiga makelele chanel...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Duka la urembo linauzwa

    Nimehamishiwa kikazi mkoan
  6. M

    JamiiForums Tanzania Duka la urembo linauzwa

    Duka la vipodozi linauzwa liko tabata relini ni sehemu nzuri na ni barabarani kabisa.anayehitaji anipm.being n 5M namuachia kila kitu na kodi imelipwa mwaka mzima.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya vitz inauzwa 5.8m

    Gari aina ya Toyota Vitz yenye namba CJQ inauzwa,iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh.5.8M ila inaongeleka,kwa yule serious buyer anicheck kwenye whatsaap # 0757-969866 au ani pm.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya vitz inauzwa 5.8m

    Gari aina ya Vitz yenye namba CJQ inauzwa, iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh. 5.8M ila inaongeleka.Kwa yule serious buyer anicheck kwenye whatsaap # 0757 - 969866 au ani pm.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kware

    Habar wadau!nauza Mayai ya kware, Nina uwezo wa kusupply tray 10 kwa siku, bei n shilingi 25000 kwa tray, kuanzia tray 5 n sh.20000.Pia kwa wale ambao hawajui faida za hay a mayai wanaweza Google,na kwa ufupi yanaongeza CD4,kupunguza cholestral,nguvu za kiume,obesity nk karibuni sana,ukihtaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Suzuki carry inauzwa

    Kwann?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Suzuki carry inauzwa

    Gari hii inauzwa sh.5.3m anaehtaji anipm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gari suzuki carry/acty inauzwa

    Habari wana Jf,nauza hiyo gari kwa sh.5.4M, ni 4WD iko kwenye hali nzuri. Kwa yeyote anaehitaji anitumie private message tufanye biashara.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kiingereza

    mm n graduate natafuta mwalimu mzur wa kiingereza atakaeweza kunibrush ili niweze kuongea english fluently.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pochi nzuri kwa bei poa

    Pata pochi kwa sh.10,000 na wallet sh.6000.Nicheck 0757969866 kwa msg niweze kukutumia kwenye whatsap picha.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vit,meza na turubai vinakodishwa

    Wana JF, tunakodisha viti,turubai na meza kwa bei nafuu.Tunapatikana mabibo,kwa mawasiliano piga namba 0757969866/0712488125/0689736823.
Back
Top Bottom