Hongera kwa utafiti wa kina, vita hii inahitaji maandalizi ya kutosha na wapiganaji makini wenye uaminifu wa hali ya juu sana. Yatupasa kujipanga kimkakati, Ahsante
Ukitaka kuendelea katika nyanja zote basi shikamana Israel like ni taifa teule la Mungu Yehova. Waulize wamarekani siri ya nguvu na maendeleo yao. Huo ndio ukweli, ukubali ukatae ukweli utabaki kuwa hivyo. Ukimlaani Israel Mungu(Yehova) anakulaani
Mtwara Mikindani kwa Mkurugenzi mh Shimwela, mkesha ili kuwa ni idara zote zilizo chini ya mkurugenzi pamoja na wakuu wa idara.Mkurugenzi alianza kuitisha majina saa saba usiku. Kwa nini tulazimishwe kukesha, je huu ndio uzalendo? Walio buni kuwepo kwa mwenge wametuachia majanga na umasikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.