Recent content by Mie Simo

  1. M

    Magufuli, watanzania wana shida zaidi ya hapo!

    Bahati mbaya wengi tunaandika billa kufikiri kwanza. Tungetazama tulikotoka na wapi tunatarajia kwenda. Katika Safari hiyo ni lazima tujenge msingi. Msingi madhubuti ni kuwa na Uongozi unaoweza kuonyesha njia. Wakati huu ambapo changamoto za kidunia ni kubwa na kuna kila hila ya mataifa...
  2. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tafadhali uliza uwanja wa taifa unaingiza kiasi gani. Uliza pia kwanini zile mashine za kisasa za kukatia tiketi hazifanyi kazi. Crdb wali invest kwa millions mfumo ukafa na watu wanapiga dili. Just ask them kwasababu huu ni mchezo kama wa bandari unakataa technology kwa sababu nyepesi nyepesi.
  3. M

    Nini kilisababisha Mwakalebela kushindwa Iringa na Msigwa

    Kulikuwa na matatizo matatu. Moja, katibu wa ccm wa mkoa ule haambiliki. Mbili mwakalebela alikuja na Ahadi ambazo mtekelezaji wake angekuwa Asas na si yeye. in fact hakuwa na dira madhubuti, na tatu ni pombi Jamani pombi ah!
  4. M

    Mapambano dhidi ya Ufisadi

    It is true
  5. M

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    LASEMA KAMA ANAO USHAHIDI WA WIZI WA FEDHA ZA PAPA AUTOE, WANASIASA WANAOCHAFUA WENZAO WAMEFILISIKA Na Waandishi Wetu KANISA Katoliki nchini limemtaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano wa Jamii), Stephen Wassira kutoa ushahidi kuthibitisha kama Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa...
  6. M

    Mnyika unakumbuka shuka asubuhi kunakucha. Maji jimboni ulisahau ukakalia sif...

    Nyumba za makatibu wakuu wa wizara mikocheni hazina maji.pale golden jubilee towers wanatumia kisima. Maji no chumvi tupu. Sijui huko mbunge ni nani.
  7. M

    Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

    Mean Law Review Commission
  8. M

    Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

    Hukunielewa. Hatengui nafasi ya Jaji. Anatengua nafasi ya Katibu wa Tume ya kutunga she ria. Hivi ni vitu viwili tofauti
  9. M

    Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

    Mujulizi in jaji kwa hilo jaji mkuu na tume ya mahakama inaweza kushughulika nae. Lakini huyu pia ni katibu wa. Tume ya kurekebisha sheria. Hapa Rais hana kizuizi cha kutengua uteuzi wake. Akiachwa hapo in hatari.
  10. M

    Kutoka Angola: Mwigulu atema Cheche

    Mwambieni arudi watumishi hawana mshahara
  11. M

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Ndugu zangu siku hizi public service ni vituko tu. Kila anaepata nafasi ni kula tu. Hakuna kinachofanyika. Ndio sababu unaweza kutumia watumishi na fedha.za umma kuitisha press conference za kutetea upuuzi bila kuulizwa. Angalia pia wabunge wetu wa ccm wanavyopumbazwa na walio katika serikali...
  12. M

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    The whole lecture was stupid I have never heard. May be ana ubia kwenye Urais. A prudent professor would have stayed calm at this point in time rather than going out ejaculating
  13. M

    Nani anafaa Kujaza nafasi za Mawaziri walio wajibishwa?

    Dr fenella anafaa zaidi
  14. M

    Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Mie alienichekesha zaidi ni waziri wa utumishi Celine Lombardi. Kwenye mapendekezo yake kama Mara Tatu anataja sheri a ya utumishi ya 2008. Nikasema Mungu Wangu. Kama sheria haijui anaongoza nini. Kuna sheria ya utumishi na 8 ya 2002
Back
Top Bottom