Mapambano dhidi ya Ufisadi

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
195
Nimekuwa nikitafakari kwa kina na kujiwa na wazo kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa na agenda nyingine maalum ya kuhakikisha wapinga Ufisadi Mara Hii hawaingii bungeni. It was deliberate. Tazama Filikunjombe is no more. Sendeka, Kafulila, Kilango, Lembeli, Mtemvu, Wenje, Baruani, Mkosamali na Machali sasa watakuwa watazamaji.
 
chuchumeta3

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
237
225
kwa watanzania kupambana na ufisadi si jambo muhimu ni kuwapa takrima wakati ukifika wakuchague ukipata fursa ya kufisadi take it.watakuelewa tu ukiwakatia.mjengoni utachoma.mkono mtupu haulambwi:peace:
 
chuchumeta3

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
237
225
Nimekuwa nikitafakari kwa kina na kujiwa na wazo kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa na agenda nyingine maalum ya kuhakikisha wapinga Ufisadi Mara Hii hawaingii bungeni. It was deliberate. Tazama Filikunjombe is no more. Sendeka, Kafulila, Kilango, Lembeli, Mtemvu, Wenje, Baruani, Mkosamali na Machali sasa watakuwa watazamaji.
na mtevu ana sifa za hao,its a joke
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
55,959
2,000
pesa ya ufisadi inategemewa sana na ccm kwa ajili ya kuhonga wapiga kura.
mpinga ufisadi ni adui namba moja wa CCM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom