Naona huyu mwanamke kidogo hajielewi. Sio wote wanaoenda nje ni kwa ajili ya kukomoa....kwake yeye anaona fahari, wanawake pia mbona wanafanya.....mie mwenyewe nina mama mtu mzima mke wa mtu, nampa kilimo kwanza ile ile na anahudumia, usafiri naotumia kachangia 60% ya manunuzi afu unasema...
Kweli unacheza wewe, madame B tafadhali chunguza maternity case kwa vijana zilivyo juu, rate ya single mothers inaongezeka kwa kasi, tunafanya research ktk sekta ya afya, hali ni tete.....mnaishia kuwa sperm bins ili muweze kujikimu na maisha na kuwalewa wanenu! Fungukeni aisee, inasikitisha
Mshahara wenyewe laki 5, hujala, hujaweka mafuta, hujapigwa ka mzinga! Utahonga kweli? Labda azimike nawewe tu akupe utamu....tamaa ya maisha ya juu ndo yanawaponza wanawake walio wengi, wanaishia kuliwa ovyo...ni kweli bhana tunayoyaona maofisini sishawishiki kuoa hata kwa rungu!
Jamaa sio kicheche aisee, tunazunguka nae porini sana tu, hajawahi kulala na demu, na ndo mana kadata.....mana akifikiria wana walikua wakimtania siku utakuta mkeo analiwa utakufa wewe, na ndo yametokea kweli!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.