Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

Inaonekana una tatizo la kuachwa njiani, haufikishwi kilele, sasa fanya kutafuta Infi kama vp
 
Kweli kbs mimi nina jibaba langu hatujamit miezi ila hata tukimit dk mbilI kamaliza anakoroma na mashuzi yakunuka kiama, cjui kwa mkewe inakuaje mi napenda tu pesa yake kwa mwezi milion moja ya matumizi iwe tumeonana hatujaonana lazima ziingie na sasa hivi ananifungulia biasha hapa mwanza ni mfanyabiashara jibaba bonge kbs.nahic mkewe atakuwa anatoka nche kukunwa maana mm wa nje tu ishu

Haaaaaa Safi Sana kama mpunga unapata we vumilia tu hayo mabomu ya gombz,swala la kukojoa ndani ya dkk mbili utatuzi upo mikononi mwako kama hana hisia baada ya kupiz maybe hauna mvuto wa kimapenzi kwake.
 
Dah, Not Enough hii kali sana....
Nini kilitokea hapa mpaka ukaamua kusema hivi, he nimegee....
 
I think kuna elements za ukweli! Mtambuzi juzi kaja na pasenti 52, so uwezekano hao waume huenda nje kujaribu kama wanaweza.


Nakumbuka tulishakuwa na muhudumu mmoja fyatu ofisini kwetu, alikuwa anasimulia madreva jinsi baadhi ya mabig bosses (wa kwetu) wanavyoishia kumshika tu!
 
duh, nimekumbuka majina ya kizaramo ya 'hatosheki', 'havijawa', 'havintishi' etc... ukitumia lugha ya kigeni yanakuwa bomba zaidi...
 
Kweli kabisa wao wanaona tunataka wasiende tu huko nje kumbe wanaenda kutu aibisha yana gonga dakika 1 yamemaliza yanajiona maduuuuuuuume akati hakuna ki2 kaacha aibu tu pale
 
nani anamwaibisha nani hapa sasa? kama mwanaume anaaibika kwa kupiga hiyo dk 1 si ni aibu yake mwenyewe?
 
haaaaaaaaaaaa!!!!!! yani kabao kamoja unanikoromea? haaaa cwezi kukuvumilia aiseee atafute magoigoi wenzie
 
Kweli kabisa wao wanaona tunataka wasiende tu huko nje kumbe wanaenda kutu aibisha yana gonga dakika 1 yamemaliza yanajiona maduuuuuuuume akati hakuna ki2 kaacha aibu tu pale

Halafu wa hivo anaweza akawa na vidada hata 3 nje; sijui ili wamuone ni kidume cha mbegu.
 
Hii kitu kali sana, nimeisevu kwenye archive yangu ili niwe nacheka nikiwa bored!
 
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

Umemaliza darling sina cha kuchangia. Waliosikia wamesikia, chukueni hatua acheni kujitia aibu! lol.
 
Akitaka kukojoa ingiza kidole kwny tundu kati ya korodani na sehemu ya haja kubwa panaitwa pressure point bai litakata a atasikia utamu wa ajabu ila umtaarifupu kabla maana anaweza taharuki akakupiga kofi akijua unamfanyia mambo ya kishoga
 
you are ryt my dear, baadhi ya mibaba bwana!!! jamani wanaume mjitahidi kuwa waaminifu kwa ndoa zenu. sio poa kila mdada akujue uume na nyeti zako.. tumuogope Mungu. uzinzi huuu..
 
Naona huyu mwanamke kidogo hajielewi. Sio wote wanaoenda nje ni kwa ajili ya kukomoa....kwake yeye anaona fahari, wanawake pia mbona wanafanya.....mie mwenyewe nina mama mtu mzima mke wa mtu, nampa kilimo kwanza ile ile na anahudumia, usafiri naotumia kachangia 60% ya manunuzi afu unasema wazee!!! Ndo mana wengine hatuoi, hatuna imani kabisa.....samahani lakini, mtizamo wangu na uhalisia wangu aisee.
 
Naona huyu mwanamke kidogo hajielewi. Sio wote wanaoenda nje ni kwa ajili ya kukomoa....kwake yeye anaona fahari, wanawake pia mbona wanafanya.....mie mwenyewe nina mama mtu mzima mke wa mtu, nampa kilimo kwanza ile ile na anahudumia, usafiri naotumia kachangia 60% ya manunuzi afu unasema wazee!!! Ndo mana wengine hatuoi, hatuna imani kabisa.....samahani lakini, mtizamo wangu na uhalisia wangu aisee.
dogo acha kula mbunye za wazee, utababuka goroli zako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom