Hata Mataifa Makubwa ya Magharibi yaani UK, France, German na Italy wamepata utajiri na nguvu kupitia vita na ukoloni. Hakuna nguvu, pesa na uimara za kuja hivi hivi.
Nguvu za US ni matokeo (descendants) ya mataifa hayo.
Pesa nyingi hazipataikani kwa kufanya biashara. Nakubaliana na wewe.
Pesa nyingi hupatikana kwa kuchota, kuiba, kunyanga'anya. Ili mtu awe bilionea katika kizazi kimoja ni lazima aibe, adhulumu, achote, anyng'anye.
Other Examples:
1.National Examinations Council of Tanzania(NECTA).
2.Kenya National Examinations Council(KNEC)
3. Tanzania Communications Reg. Authority.
4. The Communication Authority of Kenya.
Kwa hiyo uundaji wa majina na mara nyingi huongozwa na kifupi(Acronym) itakayoonekana rahisi kuliko...
Fee zote za serikali zipo structured. Ni predetermined. Kama wahusika wameibuka na kutoza tozo ambazo hazijaidhinishwa popote mfano Bodi ya Hospitali au Waziri mwenye dhamana, hiyo tozo ni batili.
Mchengerwa anaupambania mkoa wa Pwani haswa. Kibaha imekuwa Manispaa, Rufiji Mji na sasa Bagamoyo mji.
Kuna miji kama Tukuyu, Karatu zina watu, uchumi na shughuli za kibinadamu kuliko hiyo miji lkn bado hazijapewa hiyo hadhi.
Mikoa yetu ni kubwa kujiografia. Zina maeneo yenye tabia ya nchi tofauti. Mbu wanapenda kwenye ardhi oevu na joto kiaina.
Arusha: Mto wa Mbu(Bonde la Ziwa Manyara)
Mbeya: Wilaya ya Kyela karibu yote(Bonde la Ziwa Nyasa), Sehemu kubwa ya Wilaya ya Chunya.
Morogoro: Ifakara na Mikumi
Iringa: Ruaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.