Recent content by midida

  1. M

    JamiiForums Tanzania NACTE wamebadilisha Selected kuwa Not Selected wakati mtu alisha confirm

    Wapendwa tembeleeni profile zenu kwa wale wote ambao walichaguliwa first round kozi ya Community Health pamoja na zingine... Na kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusiana na hii hali ya NACTE atufahamishe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    hapo njombe n chuo cha serkal
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa vyuo mwaka huu.

    wakuu mwenye ufaham wa taarifa za ufadhil mwaka huu atujulishe 7bu wengine tunashindwa kuafford ada za vyuo tulivyo pangiwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    mwehu wewe na watakuonesha kaz
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Jitathmini sana kwani watanzania si wote wapumbavu

    lugha za mama zenu wa fisiem tohen humu mpeleke facebook
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    cost yao iko vp?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu contact za Murgwanza School of Nursing anisaidie

    wakuu kwa mwenye ufaham wa contact hzo anisaidie
  8. M

    JamiiForums Tanzania community health joining instruction tujuzane hapa

    nisaidie contact za murgwanza school of nursing.
  9. M

    JamiiForums Tanzania community health joining instruction tujuzane hapa

    tutaarifiane kwa wale wa community jins ya kupata joining instruction iwe chuo cha private au serikal.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    nisha confirm ila kiukwel m pia sifaham vzur utendaji wake ukoje.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    ustadhi juma au yeyote anayefaham hili anisaidie contact za murgwanza school of nursing kwani nimechaguliwa hapo in community health hivyo nahitaji joining instruction.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera waliochaguliwa kozi ya Community Health, NACTE

    wale tuliochaguliwa murgwanza in community health joining instruction form tutazipata vp
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tutaarifiane kuhusu community health

    wakuu nimewaulza nacte kwenye ukurasa wao fb wamenjbu kuwa tuendelee kusubr selection kwan hata hvyo walikuwa wameongeza deadline 23/10/2015 hvyo wamedai tuwe na subra kwan muda haugandi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    usidanganyike kwan wameshindwa kujenga maabara kwenye mashule iweje hlo waweze usidanganyike niya yake n kura yako
Back
Top Bottom